Makapuku Forum

Makapuku Forum

ZABURI 126

1.Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni,tulikuwa kama waota ndoto.

2.Ndipo kinywa chetu kilipojaa KICHEKO,na ulimi wetu kelele za
furaha
Ndipo waliposema katika mataifa BWANA amewatendea mambo MAKUU.

3.BWANA alitutendea mambo makuu,Tulikua tukifurahi.

4.Ee BWANA ,Uwarejeze watu wetu waliofungwa,kama vijito vya kusini.

5.Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.

6 .Ingawa mtu anakwenda zake akilia azichikuapo mbegu za kupanda.

7.Hakika atarudi kwa kelele za furaha aichukuapo miganda yake.

MUNGU ALIYE HAI NA AKUPE KICHEKO TENA KATIKA LOLOTE AMBALO LIMEKUWA LIKIKUTEKA KWA MUDA SASA,AKUSHANGAZE TENA KWA MATENDO YAKE MAKUU,IWE MAGONJWA,KUTOFANIKIWA KATIKA LOLOTE,MUNGU AKUTENDENDEE MAMBO MAKUU,KWA JINA LENYE NGUVU. LA YESU KTRISTO ,AMINA
 
Amen ubarikiwe kwa neno
 
37706be8a58318ae2c240c852e2e2ff4.jpg

Mwisho wa kunukuu
 
f7e3ccdd890a9553fc7e2541b4766df4.jpg

End
......
Asante sana ubarikiwe na mkono wa Mungu uwe kwako naomba nishiriki nawe ahadi hii ya Mungu wetu

YEREMIA 30

17.MAANA NITAKURUDISHIA AFYA ,NAMI NITAPONYA JERAHA ZAKO ,ASEMA BWANA.....

NAMUOMBA MUNGU BABA MWENYEZI YEYE MUUMBAJI WETU ASIYESINZIA WALA KULALA ATIMIZE AHADI YAKE KWAKO,AKUREJESHEE AFYA NA APONYE JERAHA ZAKO NA UWE MZIMA MWILI NA ROHO.KIRI UPONYAJI ,POKEA AHADI YA BABA MUNGU ,ANAKUPENDA NA ATATIMIZA KATIKA JINA LA YESU AMEN

TUNAKUPENDA,TUNAKUOMBEA NA MUNGU ANAKUPONYA AMEN
 
37706be8a58318ae2c240c852e2e2ff4.jpg

Mwisho wa kunukuu
2cca3b3a9761256915fc5681314d28c3.jpg
3a9cfd39ce3f44485b7a5047f9532b22.jpg
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu maana anazijua vizuri akili za mashabiki wa Simba
Hii leo wameshindwa kigundua km wamejaza magarasa mengi kikosini ndio 7bu ya kukosa ubingwa badala yake wanacheza muziki wa viongozi kwamba wanaonewa na TFF na hivyo FIFA watawapa ubingwa wa mezani
.
Wamesahau kuna kipindi walikuwa na timu Kali ile ya akina Kaseja,Okwi,Pawasa,Shekhan Rashid baadaye akina Mafisango NK ambapo Yanga tulikuwa vibonde na hatukusingizia kuonewa na tukaanza kusajili majembe ya kimataifa km Kamusoko na Tambwe ambaye walimuacha wenyewe viongozi wa Simba
Hawa mashabiki wa Simba wanaboa
Badala ya kujiandaa na mechi ngumu ya Fainali FA CUP dhidi ya Mbao wanaleta makelele ya FIFA FIFAAAAAAAA
........
 
ZABURI 126

1.Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni,tulikuwa kama waota ndoto.

2.Ndipo kinywa chetu kilipojaa KICHEKO,na ulimi wetu kelele za
furaha
Ndipo waliposema katika mataifa BWANA amewatendea mambo MAKUU.

3.BWANA alitutendea mambo makuu,Tulikua tukifurahi.

4.Ee BWANA ,Uwarejeze watu wetu waliofungwa,kama vijito vya kusini.

5.Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.

6 .Ingawa mtu anakwenda zake akilia azichikuapo mbegu za kupanda.

7.Hakika atarudi kwa kelele za furaha aichukuapo miganda yake.

MUNGU ALIYE HAI NA AKUPE KICHEKO TENA KATIKA LOLOTE AMBALO LIMEKUWA LIKIKUTEKA KWA MUDA SASA,AKUSHANGAZE TENA KWA MATENDO YAKE MAKUU,IWE MAGONJWA,KUTOFANIKIWA KATIKA LOLOTE,MUNGU AKUTENDENDEE MAMBO MAKUU,KWA JINA LENYE NGUVU. LA YESU KTRISTO ,AMINA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom