Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/Red Sea Urchin
86d7a197de241c79f3fac643154bc220.jpg
8211f34d776fb9f9e03b0482d1a51bd4.jpg
Hawa wanasadikiwa kuwa huishi milele maana wanaowarekodi/watunza hufa huku wao wakiendelea kuishi hata baada ya vifo vya watoto wa hao watunza wanyama!!!!!
Wanaishi baharini kwenye n ina cha juujuu kwenye pwani ya bahari ya Pasifiki huko Amerika Kaskazini Wanasadikiwa kuwa na uwezo wa kuishi miaka zaidi ya 200
........
 
9/Koi Fish
207afc6d8feaab288803828eb35ef5de.jpg
377a3cef221088418f1e39bd23d8c03f.jpg
Hii ni sina ya samaki ambao wastani wa umri wao kuishi ni takribani miaka 25 hadi 30 lakini rekodi zinaonesha wapo walioishi miaka zaidi ya 200!
Huko Japan Koi Fish jike aitwaye Hanako alifariki mwaka 1977 akiwa na umri wa miaka 226 ambao ni umri mkubwa kuizidi Marekani
..... ..
 
8/Long Finned Eel
f16f49861b241023fd3cbeef0313fd6d.jpg
cc5cce2efbd79d9dc7d14ccd2ccef89d.jpg
Hawa ni samaki warefu hivyo kufanana na nyoka wanapatikana zaidi huko Australia na New Zealand
Wanasadikiwa kuwa na uqezo Wa kuishi miaka 60 ila aliyerekodiwa aliishi miaka 106
.......
 
Kinachoangaliwa zaidi ni ni pamoja na wastani wa umri wao kuishi
Kunguru huku bongo wanakufakufa ovyo tu hivyo unaweza kukuta wastani wa umri wao kuishi ni miaka 20 tu
Ni km maisha yetu wabongo wastani sijui 50yrs lakini kuna vibabu vya miaka 120
........
Haha hahahaha, wanakufa na kuuliwa sana kwa ajili ya tiba ya limbwata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom