Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Sawa afande msitaafu
Sawa afande msitaafu
Wacha tu..Hahaha, haribu tv,
sio kubwa sana ya kuzuia kutoka njePolen kwa Hiyo Leo mtu hatoki nje
Sawa Dada poleni sanasio kubwa sana ya kuzuia kutoka nje
naona leo mzee wa fungate umeachiwaNi poa popo, upo??
Hahaha we acha tu, nimebreakup last night ndio maananaona leo mzee wa fungate umeachiwa
Asante sanaHongera jj. Tunafurahi kuwa na wanafamily wasomi
Kwani sasa hivi ni saa ngapi saa za huko ulipo??Nilikua siingii jf mchana saivi naingia
Baada ya kuaminiwaNilikua siingii jf mchana saivi naingia
Sasa hivi kuna kijua kikali hivisio kubwa sana ya kuzuia kutoka nje
Anajivinjali tunaona leo mzee wa fungate umeachiwa
Hili nalo swali la msingi sanaKwani sasa hivi ni saa ngapi saa za huko ulipo??
Saa saba na dk 48 mchana kweupeKwani sasa hivi ni saa ngapi saa za huko ulipo??
Hahahaha, Amna hao watu tunapswa kuishi nao kwa akili .toshaBaada ya kuaminiwa
Nipo mitaa ya tabata tunataka kuelekea mitaa ya kwako kuzikaSasa hivi kuna kijua kikali hivi
hahahhBaada ya kuaminiwa
watu gani haoHahahaha, Amna hao watu tunapswa kuishi nao kwa akili .tosha
Nipo masaki, huko huwa napita pita weekend tuNipo mitaa ya tabata tunataka kuelekea mitaa ya kwako kuzika
Hahahaha, umbea at work. Wanaofichana!!watu gani hao