Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Honey!Tupo
Honey!Tupo
Aaah anatusumbua[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jibu zuri sana mke mwee [emoji2]
Eti picha[emoji23] [emoji23] kweli jf inawatu wa aina nyingiEvart haeleweki kama she ama ni he..[emoji41]
Tena supu ya maharageYaani kama kijiko cha mgahawani
Kila mtu analia maharage? [emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kivuruge amekula nini porini? Haelewiki elewiki ujue?
Labda kisusioKivuruge amekula nini porini? Haelewiki elewiki ujue?
Hayaishi tuWewe sass umenivurugaaa mpaka bhasii
Bora leo kasema picha cku zote akifika yy ni kitoa kusonya tuEti picha[emoji23] [emoji23] kweli jf inawatu wa aina nyingi
Vipi meshaelewana na werrasonEti picha[emoji23] [emoji23] kweli jf inawatu wa aina nyingi
au shemaleEvart haeleweki kama she ama ni he..[emoji41]
Na mshengaTusaidianeee
ni wa kumpuuza tuAaah anatusumbua[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tena kisusio cha Noah [emoji203][emoji203]Labda kisusio
Kuelewana nini?Vipi meshaelewana na werrason
shemela usikimbie ujue[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
I guess!au shemale
MhLabda kisusio
[emoji3] [emoji3] [emoji3]au shemale
Ngoja tuoneHahahaa! Watu watachukua mzigo ! Shauri yako
Khaaaa huyo wa mama mchuchuVipi meshaelewana na werrason