Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Wewe ke ama me?Picha picha picha wekeni
Wewe ke ama me?Picha picha picha wekeni
[emoji144] [emoji144] [emoji144]Kuanzia kesho ntakuja na segment mpya kabisa.... Hivyo mkae tayari
Weka picha yako halisi kwanzaWewe ke ama me?
Mi namwona evart tu[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]Umemuona werrason..
Muzee wa masauti! Mutoto ya ndama !
Achana na kuimba tuu!
Kwao wanachimba madeni ya Dhahabu....
Sasa wewe chezea bahati
Eeh! Utakuwa she wewe..Weka picha yako halisi kwanza
Ili tugundue nnWeka picha yako halisi kwanza
TupoShululu ,obe ,Lee,werrason,tumosa,nyagei,sakayo,shunie,mndali,transcend, Quigley, paprika, muje huku
Mtoto wa MaoKweli kabisa
Wazee wa Chelsea hongereni kwa Ubingwa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Jibu zuri sana mke mwee [emoji2]Ili tugundue nn
Haaaaahaaaa huyu binamusi futuhi shemela anavyotuita
HajabarikiUmebariki??
AiseeNataka kamuuureemboo kapoleeee katakonipunguzia stress... Wewe unanivugaa mpaka napotelea porin
Duh aisee[emoji23] [emoji23]
Mondray ni cha wote nae
Usimsikilize huyoKila LA kherii sina kinyongo
binamu ni changamoto shemelaHaaaaahaaaa huyu binamu
Hapo sasa, ngoja ajeEeeh! Mondray ni cha wote?
Evart haeleweki kama she ama ni he..[emoji41]Mi namwona evart tu[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]
Kweli ankali ulikuwa IsraelHehehehe
Waswahili wana msemo wao unasema
"Utaula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua....
[emoji115] [emoji115] [emoji115] utakuhusu
AiseeEee hajawahi kutulia na mmoja