aganza
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,450
- 3,153
Joanah anawaitawapi huko
Joanah anawaitawapi huko
Kila LA kherii sina kinyongoNiko poa mamii shunie.
Hakika nimekubali kuwa wewe ndiyo roho yangu..
Haiwezekani kila naepiga nae story namuita shunie...kuna kitu siyo bure.
Mie nmefika aganza mwambie hapa kuna mambo mbalimbali na vtu vngi hatajuta kuwa mmoja wetu,akae ashuhudie mwenyeweShululu ,obe ,Lee,werrason,tumosa,nyagei,sakayo,shunie,mndali,transcend, Quigley, paprika, muje huku
kama umeamua nitanya niniUmebariki??
acha ninyamaze kimyaNataka kamuuureemboo kapoleeee katakonipunguzia stress... Wewe unanivugaa mpaka napotelea porin
Haaa!Upitie tu
Anzia mwanzo
Eeeh! Mondray ni cha wote?![]()
![]()
Mondray ni cha wote nae
hizo baraka sio kwa shunie mimiKila LA kherii sina kinyongo
HeheheheHaaa!
Zilivyo nyingi siziwezi
utakuhusuEeeh!Nataka kamuuureemboo kapoleeee katakonipunguzia stress... Wewe unanivugaa mpaka napotelea porin
Eee hajawahi kutulia na mmojaEeeh! Mondray ni cha wote?
nimepona kabisa THahaaa...
Umepona ?![]()
![]()
Sema ukweliisina hata nilichomfanyia mke mwee
Huu uzi ni mrefu sanaaaHehehehe
Waswahili wana msemo wao unasema
"Utaula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua....
![]()
![]()
utakuhusu
wala hujakosea ni hapa hapa kapukuEeeh!
Macho yangu yanaona vibaya ama nimekosea forum jamani
Yaani kama kijiko cha mgahawaniEee hajawahi kutulia na mmoja

