Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Cc.sakayooooTufanye kama ndio kwanza tumeonana.
Mambo aganza
Cc.sakayooooTufanye kama ndio kwanza tumeonana.
Mambo aganza
Asante ankali tutasubiri kwa hamu sanaKuanzia kesho ntakuja na segment mpya kabisa.... Hivyo mkae tayari
Wewe na wewe...mpaka aganza aelewe..mh
ukimaanisha
Bhinamu [emoji4] [emoji4] [emoji4]Una mapenzi ya kweli kwa mjomba angu lee empire ila mjomba angu hana dhamana, kama mmasai tu. akisikia mvua zinanyesha porini anampeleka kirungu mpweke huko porini, zikinyesha mjini anarudi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Afadhali useme my swi
Wanakupenda piaaNakupenda
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Binamu umeongea maneno mazito sana [emoji134] [emoji134]
KaribuuuKuanzia kesho ntakuja na segment mpya kabisa.... Hivyo mkae tayari
Hahaaaaa!Leta habari
AnakuponzaaBinamu umeongea maneno mazito sana [emoji134] [emoji134]
Aiseee![]()
Hebu muite sakayo....!
Kina mshindoAsante sana
Huu ujio utakuwa cheche!
Si unajua kimya kingi..........
Hilo ndio la msingiMtafutie baby tuu sasa atulie..
shirika la shunieWa shirika gani
Umeona ulivyo na mawazo feki sasa..Cc.sakayoooo
Nakumbuka shemelaCc.shululu unakumbuka shemela maneno ya mukongo aliyokua ananiombea
Sakayo anakujaWewe na wewe...mpaka aganza aelewe..
Hawezi huyoMkuu...
Hebu mnong'oneze mtoto aganza..
Naona anapenda Congo
AiseeWanakupenda piaa
Kama kawaidaaWazee wa Chelsea hongereni kwa Ubingwa