Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Kuanzia kesho ntakuja na segment mpya kabisa.... Hivyo mkae tayari
Kuanzia kesho ntakuja na segment mpya kabisa.... Hivyo mkae tayari
Asante sanatunasubili kwa hamu katibu wa weka picha
Aganza.Mtajie usiogope
nipo huko ndo maana naingia humu kwa kujiiba,now niko prepo¥¥

Hawajaelewahivi si umeelewa lakini
Mtafutie baby tuu sasa atulie..na akileft anarudishwa
kimya kingi kina mshindo mkubwaAsante sana
Huu ujio utakuwa cheche!
Si unajua kimya kingi..........
ahahahh atapata tu mwenyewe ngoja wachangamkia fursa wakujeMtafutie baby tuu sasa atulie..
Nivungie kwanza mkuu!

Toa ushahidiulichokua unaombea hivyo
Cc.shululu unakumbuka shemela maneno ya mukongo aliyokua ananiombeaToa ushahidi
Wekeni picha zenu tufahamiane

Acha hizo wewe
Umemuona werrason..
kina mshindow!!!Asante sana
Huu ujio utakuwa cheche!
Si unajua kimya kingi..........
Karibu mkuu..Kuanzia kesho ntakuja na segment mpya kabisa.... Hivyo mkae tayari
Cc.mama mchuchu hapa ndio utakapomkumbuka binamu yangu obeUmemuona werrason..
Muzee wa masauti! Mutoto ya ndama !
Achana na kuimba tuu!
Kwao wanachimba madeni ya Dhahabu....
Sasa wewe chezea bahati