Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
uliyonivuruga ujue yanatoshaSema ukwelii
uliyonivuruga ujue yanatoshaSema ukwelii
Kivuruge amekula nini porini? Haelewiki elewiki ujue?nimepona kabisa T
Sio kudata...Huu uzi ni mrefu sanaaa
Ukipitia mwanzo mwisho unaweza kudata
Apana macho yakoEeeh!
Macho yangu yanaona vibaya ama nimekosea forum jamani
UchocheziYaani kama kijiko cha mgahawani
Kila mtu analia maharage?![]()

Uncle L !Unaendeleajee kipenziii
Nakumis mpaka naumwaa
KabisaSio kudata...
Hutakaa umalize..
Kuwa siliasiiKivuruge amekula nini porini? Haelewiki elewiki ujue?
Wewe sass umenivurugaaa mpaka bhasiiuliyonivuruga ujue yanatosha
Nataka kamuuureemboo kapoleeee katakonipunguzia stress... Wewe unanivugaa mpaka napotelea porin

Nani sasahizo baraka sio kwa shunie mimi
Mwanzo!!!Upitie tu
Anzia mwanzo

word code sina ila inabidi uwe una-decode kama mimi nilivyokung'amuaNo..
Tunajuana vipi? Nipe word-code moja kuhusu mimi kama unanijua?
Sema lolote LA moyonacha ninyamaze kimya
Dada nahisi umeanza kuuelewa Uzi au bado?Uchochezi![]()
![]()
humu humu ndaniWapi hapo?
Tusaidianeee