Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Anapatikana ndio japo kwa sasa hayupo hewani kwasbabu anaumwaHivi bitozi anapatikana humu ndani
Anapatikana ndio japo kwa sasa hayupo hewani kwasbabu anaumwaHivi bitozi anapatikana humu ndani
MmmhBac niwe mwalimu wako
Uwiii hutaki niongeze kpato cha familia kwa kufundsha tuishenHapana, huyo sio mwafunzi
Ya mwalimu au cjaelewaMmmh
Weka picha
Afadhali akufundishe mwenyewe mi ntabaki kulinda nyumbabasi nifundishe wewe ticha shululu
Mbona umeshtuka sana?!
Aaaah misemo ya wahenga imenshtuaMbona umeshtuka sana?!
Ankali. Tumosa ni ankali wako ndio ubavu wanguLakini ankali hivi we unaoaje mi sijui?? Kwani Israel pana umbali gani jamani??
Cc Sweetiepie
Ankali. Tumosa ni ankali wako ndio ubavu wanguLakini ankali hivi we unaoaje mi sijui?? Kwani Israel pana umbali gani jamani??
Cc Sweetiepie
wanafunzi na waalimu wana kesi nyingi za mapenzi siku hiziUwiii hutaki niongeze kpato cha familia kwa kufundsha tuishen
Yeah nawekaga miziki ya kale ndio maana.Aaaah misemo ya wahenga imenshtua
Hahahaaa!mkuu upo TISS nini naona unavyowanyapia watu hapa ndichi
haahahaaah
Tumosa huyu sweetiepie ni jirani yetu, kwenye ile nyumba mzuri uliyokuwa unaiulizia nikakuambia haikaliwi na watu, ndio huyo jirani amerudi, alikuwa kwao huko nyehunge Kanda pendwaAaaah misemo ya wahenga imenshtua
Wala hata sijanyapia mtu mkuu..mkuu upo TISS nini naona unavyowanyapia watu hapa ndichi
haahahaaah
Umekubali kuachia mzigo Shululu... Shauri yako... Mimi pia nilikuwa mwalimu zamani.... Nayakumbuka.... Uhusiano wa mwalimu na mwanafunzi... Halafu wanakaribiana umri.... Hmm.Afadhali akufundishe mwenyewe mi ntabaki kulinda nyumba
Tumosa huyu sweetiepie ni jirani yetu, kwenye ile nyumba mzuri uliyokuwa unaiulizia nikakuambia haikaliwi na watu, ndio huyo jirani amerudi, alikuwa kwao huko nyehunge Kanda pendwa



Picha ni picha tuYa mwalimu au cjaelewa
omba ruhusa kwanza nishaona signs za wivu hapa na wadakuAfadhali akufundishe mwenyewe mi ntabaki kulinda nyumba

mi ni TissRapa ujue....tunajuana flani iviHahahaaa!
Mmeshaanza sasa! TISS wala huwezi kuwahisi kama ni Tiss..
Mimi umeshanihisi tayari...
I strongly disagree with you ..i am not among