Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
ahaha umeruhusiwa lakini na shemelaBac niwe mwalimu wako
ahaha umeruhusiwa lakini na shemelaBac niwe mwalimu wako
acceptedBac niwe mwalimu wako
Inabid anipe tu ruhusa mwanafunzi kapatikanaahaha umeruhusiwa lakini na shemela
Kesho uje na vihesabio darasa lianzeaccepted
ndio brazaUnataka tuishieni kwake???
usijali ticha me ni mwanafunzi muelewa kabisaKesho uje na vihesabio darasa lianze
Aiseee ngoja ajeInabid anipe tu ruhusa mwanafunzi kapatikana
😛ahaha umeruhusiwa lakini na shemela
Hapana, huyo sio mwafunziInabid anipe tu ruhusa mwanafunzi kapatikana
Mwanafinzi mkorofi huyuakija unitag
![]()
Nakuona nakuona!teh teh hapana braza sipo huko kabisa
basi nifundishe wewe ticha shululuHapana, huyo sio mwafunzi
hapana bhana wananisingiziaMwanafinzi mkorofi huyu
mkuu upo TISS nini naona unavyowanyapia watu hapa ndichiNakuona nakuona!
Siku nikukute studio tuu unapiga 3D hahaa!
Karibu sanaMy self introduce:
Username:Shedede aka mzeee mkavu
My wife:husna muba
My home relaxing:makapuku forums
Asante sanaJimena karibu..
Lakini ankali hivi we unaoaje mi sijui?? Kwani Israel pana umbali gani jamani??Pamoja sana ankali JJ
Mmmhtatizo hawezi kukupenda yeye anamtaka mama mchuchu tu nilishamtafutia mke akawa anamkimbia anamtaja mama mchuchu tu mpk binti wa watu kamkimbia
Relax Shunie...shemela jana ulikua haupo malaika wako alikuepo nimeingia tu niliyokutana nayo Mungu anajua muulize T na emmyguy na shedede