Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kimya kimyaMi mwenyew meshangaa

Kimya kimyaMi mwenyew meshangaa

Mambo!Mutu ya kongo
Sio kweli, mama mchungaji kila siku alikuwa anasali kuiombea familia yako na kupata ulinzi huko poriniMwenyewe navyofanyiwaa anaonaa
shem wange asante kwa ratiba ya leo vipi mlionana na cuzoo wangu ndio nimeingia moja kwa moja nimeingia kapukuWORLD CUP U20
![]()
Zambia vs Portugal wako live now
STARTIMES WANAONYESHA LIVE WORLD CUP U20
Asante kwa kuyapitia shemelashemela asante kwa magazeti
Kwa naniiShemela u mzima lakini
YupoJimena yupo humu leo jmn
happy birthday T wa sakayo1952 - Mr. T anazaliwa.
Ni msanii wa Movie na mwanamieleka wa zamani kutoka Marekani.
Nambie JJMutu ya kongo
Hapana na-emagine vile umekuwa mgumu kunielewa I just wonderUmeuguaa chekeleaa





Nafasi iko wazi, nahitaji mchumba wa Makapuku tu, siwezi kuwa single humu akati boys mpo.

happy birthday big1972 - The Notorious B.I.G anazaliwa.
Jina lake halisi ni Christopher Wallace.
Alikuwa ni mwanamuziki kutoka nchini Marekani.
Asante mussolin kwa historiaLeo katika Historia;
Siku njema.
KwakoKwa nanii
Shem/bosstusubili rufaa yetu
aaha najua ukipendwa pendekandomie
Anamkumbuka mtoto mpaka Baba unaona wivuKea hiyo unaona wivu kunitajaa
kumbe hata nisipokuwepo huwa ni mara 100 yake
Poa, mambo vp?Mambo!
Miss ya!Nambie JJ