shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
HBD fortune1977 - Quinton Fortune anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya South Africa.
Kwasasa ni Balozi wa Man Utd kwa Bara la Africa.
HBD fortune1977 - Quinton Fortune anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya South Africa.
Kwasasa ni Balozi wa Man Utd kwa Bara la Africa.
Notorious big HBD1972 - The Notorious B.I.G anazaliwa.
Jina lake halisi ni Christopher Wallace.
Alikuwa ni mwanamuziki kutoka nchini Marekani.
Kwa sasa analazimisha tu kucheza anapaswa astaafu au aende China na USA1986 - Mario Mandzukic anazaliwa.
Mshambuliaji wa Croatia, Juventus ambaye pia amewahi kuchezea Bayern Munich na Atletico Madrid.
Ametwaa klabu bingwa ulaya akiwa na Bayern mwaka 2013.
Asante musolini kwa leo katika historiaLeo katika Historia;
Siku njema.
Morning ShululuMorning all kapuku
Kwema mkuuWakuuu habar nimesikipu
MkuuSweetipie mambo
@sweeTipie
Asante mkuuLeo katika Historia;
Siku njema.
Nambie mkuuMkuu
Aaaaah umenitenga hadi nimekua nazurura tuuuu, jmn
Uko poa kiongoziii?Nambie mkuu
Heshima kwako mwana familia
Niko poa hakika, vp kwa upande wako!Uko poa kiongoziii?
Nipo wala usijali, naniliuu yule wa humu bado yupo?Aaaaah umenitenga hadi nimekua nazurura tuuuu, jmn
Aliye juu anazidi kuniteteaa vyemaNiko poa hakika, vp kwa upande wako!
Nawe pia kakaHeshima kwako mwana familia