Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Wewe jitoe ufahamukisanini
Wewe jitoe ufahamukisanini
Bwana Asifiwe ,unaendeleaje?ubarikiwe sana haveva wonderful Sunday[emoji253] [emoji253]Bwana Yesu asisifie watu wa Mungu
Polen wote waliokuewa wameguswa na ajali hyo kwa namna moja au nyingine,Mungu awape pumziko marehemu wote wa ajali hyo1996 - Meli ya Mv Bukoba yazama katika Ziwa Viktoria na kuua watu zaidi ya 700.
Ilikuwa ikitoka Bukoba kwenda Mwanza, ilizama karibu na pwani ya Bwiru.
Rais wa kipindi hiko, Benjamin Mkapa alitangaza siku tatu za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti.
Makaburi ya wahanga wa tukio hilo yapo Igoma, Mwanza ambapo walioshindwa kutambuliwa na ndugu zao walizikwa hapo.
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nikianza fitina usilie na kuanza kumwachia Mungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah Niko kishimundu huku mkuu... [emoji4] [emoji4]
Ni kweli tutashindaSerengeti boys watashinda, Mark my word(s)
Amen mtumishiBwana Yesu asisifie watu wa Mungu
Kwema, afadhali umekujaKama kawa
Kwemaaa?
Lee anakutafutaNipo hapa ndugu yangu[emoji120]
BarikiwaLeo katika Historia;
Siku njema.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nikianza fitina usilie na kuanza kumwachia Mungu
Wewe jitoe ufahamu
Chaubama jendio hyo tu ambyo ilifutwa.
Mukongo mambo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
kunani??Kwema, afadhali umekuja
Safi shemu kwemaWakuuu habar nimesikipu
Aisee [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Midume kwa kulilia ni hataree
ShemBarikiwa
Baada ya kumposa shunie ndo ukaacha kazii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie kazi niliacha saa ming mbona