shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Usimsikilize Lee atakuuzia kesiHivi kuna mabadiliko!
Usimsikilize Lee atakuuzia kesiHivi kuna mabadiliko!
ZABURI 150
1.Haleluya ,msifuni Mungu katika patakatifu pake,Msifuni katika anga la uweza wake.
2.Msifuni kwa matendo yake makuu,Msifuni kwa kadri ya wingi wa ukuu wake.
Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
3.Msifuni kwa mvumo wa baragumu ;Msifuni kwa kinanda na kinubi.
4.Msifuni kwa matari na kucheza,Msifuni kwa zeze na filimbi.
5.Msifuni kwa matoazi yaliayo;Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
6.Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA.HALELUYA![]()
TUOMBE
BABA katika jina la Yesu asante kwa Upendo wako mkuu kwetu hata kutuamsha salama na wazima.
Tunajikabidhi mikononi mwako utulinde utuongoze utuponye.
Tunaomba utuepushe na hatari mbalimbali na ajali mbalimbali.
Tunakushukuru,Tunakusifu,aTunakuabudu,Tunakushukuru na kwa Pumzi zetu tunalisifu jina lako daima HALELUYA.
Asante Baba kwa yote unayotutendea maana hatuna namna ya kuyaeleza tunashukuru.
Ponya wagonjwa,wafiwa,waliovunjika moyo,yatima wajane. usiwapungukie Mfalme wa Amani.Walinde wasafiri nchi kavu,majini angani wafike salama
Asante Baba na tunaomba ufanye yote sawasawa na mapenzi yako.
JUMAPILI YA LEO BABA TUNAOMBA TUKUTANE NAWE POPOTE TULIPO.
Tunaomba yote katika jina la Yesu amen.
JUMAPILI NJEMA WAPENDWA![]()
![]()
![]()
Amen
Yalikuwepo??Sweetiepie weka kwanza ya kale ni dhahabu

Na shedede yumo kwenye list Ila kuna afisa mmoja ndo kamaliza kabisaHivi shunie kauza mechi kwa shedede!!!
Hakuna kitu kizur kama kudondokewa na BintiKama umemdondokea bhinamu shaka ondoa... Na Mimi niko kiwiko kea kiwiko

anajaribu kusemaLee anasumbua sana
Ma kunisahau ushanisahau
ISAYA 49
Wee nengenekwaa utajutaa kupajua kapukukwelii Kabisa lakini kazi si niliacha shaidi yangu wewe ukiwepo![]()
Lee mimi sina kesi, ila unawasikiliza watu sana, na shemela wangu anakupenda na anamsimamo sanaNa wewe
I've markedSerengeti boys watashinda, Mark my word(s)

Ndio alafu demi mshauri wangu simuonii
Hivi shunie kauza mechi kwa shedede!!!




kwanini
hahahahahaUsinikenuliee mimenoo
ObeeeeeeeeLakini fo sam rizoni huyu Obe nimemdondokea, anae jua alipo aniitie kwanza tuyajenge.
Shede WiiKama kawa
Kwemaaa?

Wewe tulia kwanza uone mchezoHivi shunie kauza mechi kwa shedede!!!
Yeye ulimpa baruakwelii Kabisa lakini kazi si niliacha shaidi yangu wewe ukiwepo![]()
nimefanyaje??Na shedede yumo kwenye list Ila kuna afisa mmoja ndo kamaliza kabisa



Mtaje nimshukie chapNa shedede yumo kwenye list Ila kuna afisa mmoja ndo kamaliza kabisa