shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante kwa leo katika historia bora kabisa mkuu musoliniLeo katika Historia:
Niwatakie jmosi, sabato na wikendi njema.
Uwe na sabato njema
Asante kwa leo katika historia bora kabisa mkuu musoliniLeo katika Historia:
Niwatakie jmosi, sabato na wikendi njema.
Nzuri mkuu, vp mbeya hapoKiongozi za hapo ulipo
Vp wake wapo maana nataka niachane na ukaperaNamshukuru Mungu Antonio naendelea vizuri
Njema papaa za kwakoHabari zenu?
Takribani Wayahudi milioni 6 waliuwawa chini ya utawala wa Hitler.![]()
Japokuwa ni untama lakini aliona mbali![]()
Jinsi Wayahudi walivyo na IQ pengine Hii leo wangekuwa ni Taifa lenye nguvu na tishio kama Urusi
........
Muwe na asubuhi njema Makapuku wote
Tutaonana baadae kwenye ratiba ya michezo na UF
Ahsante

Bado hatujapata Uhuru hapoAisee, kumbe juzi juzi tu
Hapana, Mao alikuwa ndio kiongozi wa kwanza katika chama chao cha kijamaa.
Siku zote nilifikiri Rais wa kwanza ni Mao![]()
.......
1981 - Iker Casillas anazaliwa.
Golikipa wa Porto na timu ya taifa ya Spain.
Moja ya magoli kipa bora kuwahi kucheza soka.
Ameshinda kila taji katika maisha yake ya kucheza kabumbu.
Naikumbuka vizuri mkuu.
Niliwahi kuielezea hapa kuwa ni miongoni mwa vita fupi kuwahi kutokea duniani![]()
Kiuhalisia ilikuwa ni vita baina ya India na Pakistan ambapo mwisho wa siku ikasababisha Bangladesh kupata Uhuru wake
........
Indi mukafu isagwo ukyala ambikiteNalembuka kaka gwaja mukomu
Njema za huko ulikoSafi bro
Hali yako
Form is temporary but Class is permanent.HBD Roger Milla, pia wachezeji walioongezwa kwenye hatua za mwisho na timu zao ndio walionesha uwezo mkubwa
Hapa njama kabisa vipi mvua bado ipoNzuri mkuu, vp mbeya hapo
Miaka minne baadae, Kwenye Kombe la Dunia lililofanyika pale Marekani, Roger Milla alifunga goli akiwa na miaka 42 na kumfanya kuweka rekodi ya kufunga goli akiwa na umri mkubwa zaidi.![]()
Sio tu ustaa bali pia aliweka rekodi mchezaji mzee kufunga goli World Cup akiwa na umri wa miaka 38![]()
......
Safi kaka..Njema za huko uliko
Pamoja mkuuSafi kaka..
Mzima mkuu?Kila asubuhi, amka na Makapuku Forum!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
1982 - Petr Cech anazaliwa.
Kipa namba 1 wa Arsenal na timu ya taifa ya Czech.
Amewahi pia kudakia Chelsea kwa mafanikio makubwa sana.
Ni mmoja wa magolikipa mahiri kuwahi kucheza EPL.