Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nataka niweke bandiko la kutafuta wa kuendana nae.

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Badilisha avatar kwanza pls nisikilize mm tafuta avatar ya mkaka handsome watu wanapenda avatar ujue hahhaha siku ya kukutana kila mtu anakimbilia mita 200 sababu hamjawahi onana hujui mwenzio anafananaje

mtu anavutiwa na avatar ya lee wangu hajui anafananaje uwiiiiiii waniachie lee wangu
 
Kumbe ndo maana demi ananitolea nje kumbe ni kwa sababu ya avatar yangu kuwa mbaya. Ila naamini akikutana na mimi hatojutia uamuzi wa kunipenda mie.

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
lee wangu mekumiss hunnie mpaka nakufwa nimekuja mara moja kukusalimia bado sijiskii vizuri

shemela shululu jaman kila nikiingia sikukuti nimekumiss sana na mama mchuchu wangu

binamu obe miss u binamu wangu bila kumsahau mukongo na Bitoz na Mussolin na msukuma na snipes
 
Badilisha avatar kwanza pls nisikilize mm tafuta avatar ya mkaka handsome watu wanapenda avatar ujue hahhaha siku ya kukutana kila mtu anakimbilia mita 200 sababu hamjawahi onana hujui mwenzio anafananaje

mtu anavutiwa na avatar ya lee wangu hajui anafananaje uwiiiiiii waniachie lee wangu
Wangejua tuu lee mweusi kama nini.. hahahaaa

Hayo mambo ya kukutana..oohh

Niko hapa London Bridge nimevaa White shirt..

Ooh, niko Golden Stone nimevaa gauni la njano..

After 3minutes.. namba haipatikani tena...

Hahahaaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom