Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji106]Bado nashangaa shangaa kwanza nikihitaji msaada nitafata maelekezo yako
[emoji106]Bado nashangaa shangaa kwanza nikihitaji msaada nitafata maelekezo yako
Hii mpya kwangu! Mtongozo hadharani?Wala hujapotea, hapa ndo sehemu husika ya kuondoa stress zote za maisha. Nahitaji nitengeneze 'couple' na wewe humu ndani.
Natuma maombi....
[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kumbe we ccm!!!Mi sio chadema
Kama ni huko mie siendi.Kolomije
Hapo sawaHaimaanishi chadema, Bali ni Amani
Itakuwa ulipotea sana mkuuNdio. Alafu wengine hata hawanijui hadi wanahitaji muongozo kutoka kwa Bitoz.
Aligoma kunipa penshen msukuma mwenyewe haeleweki kunipa mashamba ety mpaka nimruhusu apewe dawa na husna na mimi sitaki kumpoteza husna wangu kwa msukuma aka maneno kumi.......Vizuri nakuona unakula pensheni tu
Cc:sakayoMuulize Shimba ya Buyenze..
Kwa ufupi tuu kuna totoz za haja..! [emoji41][emoji41]
Ndio umkubalie sasaHii mpya kwangu! Mtongozo hadharani?
Akaaa ... Sinaga chama mieeKumbe we ccm!!!
Nawe piaNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Mlindwe kwa damu ya yesu
Ata mimi namshangaa ila kwenye Uzi wangu alisema ye ni kapukuKumbe we ni me[emoji15]
Kupendwa raha jamaniiiAligoma kunipa penshen msukuma mwenyewe haeleweki kunipa mashamba ety mpaka nimruhusu apewe dawa na husna na mimi sitaki kumpoteza husna wangu kwa msukuma aka maneno kumi.......
[emoji125] [emoji125]
[emoji109] [emoji120][emoji109] [emoji109]
Sminorf Ice tafadhali..
Niliona avatar ya bitoz ipo kwa emmyguy nikajua labda wapo coupleNini
Haya wee kazi ni kwako
MjuzeNaona anahitaji kunijua zaidi.