Makapuku Forum

Binamu santeee kwa music mzuri
 
Aunt yangu utanikondesha roho hakyanani, kila nikikugoogle naambiwa not richabo, link umekata, pm umesiliba yaani basi tu nikawa nakukumbuka kimoyomoyo. U khali gani wangu?

SN (serious note): Tulikumiss humu, na mimi nilikumiss zaidi
niliwamiss sana binamu nilikua naumwa vipi unaendeleaje mama mchuchu vipi anaendeleaje
 
usikute mjumba mkubwa kama huu wanaishi watu watatu tu ndani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…