Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,397
- 10,846
kanye west namkubali lakin ana mawazo ya ki satanic kweli huyu mtu8/Kanye Omari WestAbapendelea kujiita Yeezus
Ana umri wa miaka 36
Ndiye kidume wa Kim Kardashian na baba mzazi wa North West
Anaingiza pesa kutokana na mikataba aloyosaini na makampuni makubwa kama bile Nike,Adidas na Louis Built on
Pia anajishughulisha na biashara kibao
Ana mkawanja unaokadiriwa kuwa USD 110 milioni
..........
hiyo aliyomaanisha TNyegezi ni kubwa maana hata mimi nipo Mwanza.
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
hahahhh kitu gani hiko dadaMdogo wangu mie
Unaendeleaje mamy...
Kuna kitu nahisi humu...
Ngoja nitafakari kwanza maana ni maamuzi magumu sana.
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
kuna kaukweli
Poleni huku baridi ndo imeanza mabranketi yanapata soko la uhakikahuku kwema mkuu!
joto letu la daresalama limerudi tunapambana nalo
hivi ulikua unanisema kule nilipokukutaSio hivyo mkuu
Poa shem wangeMambo shem
mke mweeh miss u nitaftie shemela wangu shululuMnaendleaje wapendwa ,hope muwazima
Dada mzimahahahhh kitu gani hiko dada
nilikua naumwa mke mweeh vipi unaendeleajeMke mweee mzima,ulipotea cku mbili hzi vp kwema
ametawaliwa na shetanikanye west namkubali lakin ana mawazo ya ki satanic kweli huyu mtu
hivi ulikua unanisema kule nilipokukuta
unaenda wapi tenaEeeee!
Nini tena hunie...!
Pole Dada kwa kuumwa mungu akuponyenilikua naumwa mke mweeh vipi unaendeleaje
master p wa zamani7/Percy Robert Miller
Anajuliksna pia kwa jina la Master P alikuwa akijishughulisha sana na uprodyuza
Ana biashara kibao
Pia anatoa hisani ya chakula kupitia P Miller Food Foundation
Ana umri wa miaka 44
Utajiri wake ni USD 170 milioni
...........
ametawaliwa na shetani
bado anasikika mkuu na bado yupo kwenye uboraSiku hizi hasikiki sana
Dada ule umbea wa pm sijakuelewa aisee kumbe mambo ndio yapo vile ngachokaSalama tu
Hali yako Shemeji