EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hahahaaa.... Hapana bhana si hivyo shemela wangu.wanaume si mnajijua lakini huwezi mlia yamini
Ngoja nitafakari kwanza maana ni maamuzi magumu sana.badilisha avatar
Usijali, mimi nipo mbadala wa Mabraza ambao wako kwenye majukumu mengine.lee wangu mekumiss hunnie mpaka nakufwanimekuja mara moja kukusalimia bado sijiskii vizuri
shemela shululu jaman kila nikiingia sikukuti nimekumiss sana na mama mchuchu wangu
binamu obe miss u binamu wangu bila kumsahau mukongo na Bitoz na Mussolin na msukuma na snipes
Wangejua tuu lee mweusi kama nini.. hahahaaa
Hayo mambo ya kukutana..oohh
Niko hapa London Bridge nimevaa White shirt..
Ooh, niko Golden Stone nimevaa gauni la njano..
After 3minutes.. namba haipatikani tena...
Hahahaaa...
Itakuwa ameanza kuji cream awe mweusi.shemela lee wako leerapa
lee wa kwangu mm ni mwarabu sio mweusi kila siku nakwambia lee sio mweusi au unataka kumbadilisha rangi![]()
Sio hivyo mkuuJamaa Nyagei anajaribu kunipokonya tonge mdomoni.
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Unajua sisi paroko's tuko na upendo kwa woteKomaaaa!
Nyagei anajua kusali balaa...ngoja apige magoti huko kama hujakosa mwana![]()
Sawa
HapanaEmmyguy kasema eti unapiga vistuli kwa mtoto demi![]()

Ni poa shem
Wew endelea kucheka tuu...
Nyagei anafanya mambo huko whatsapp sasa hivi..
Karibu sukari ya.....Nataka nijisajiri upya humu Kp
Mnipokee tafadhari..
Well saidMimi nina mke wangu Sakayo
Nakusaidia kwa demi tuu..
NdioHivi kila mtu ana mume humu? Kasoro EMMYGUY