Makapuku Forum

Makapuku Forum

Cheka Unenepee:
HUYU NDIE MLEVI!!!!!:
1,Akipata kazi ANALEWA
2,Akifukuzwa kazi ANALEWA
3,Akioa ANALEWA
4,Akiachika ANALEWA,5,Akifurahi ANALEWA,
6,Akichukia ANALEWA
7,Akipandishwa cheo ANALEWA,
8,Akishushwa ANALEWA
9,Akijenga nyumba ANALEWA
10,Akinunua gar ANALEWA
11,Akipata ajali ANALEWA,
12,Akimpata mtoto ANALEWA
13,Akifiwa ANALEWA
14,Akisifiwa ANALEWA
15,Akikosolewa ANALEWA
16,Akishiba ANALEWA
17,Akiwa na njaa ANALEWA
18,Timu yake ikishinda ANALEWA
19,Timu yake ikifungwa ANALEWA
LABDA AFE TUU NDIO HATALEWA* Mlevi nomaaaaaa ‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
waombolezaji watalewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom