Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaa!bitoz anapiga kwa afya amesema
Nahisi mimi na yeye tunafanana baadhi ya vitu.
Hahahaa!bitoz anapiga kwa afya amesema
Ngoja nipambane Mkuu.giza totoro ni ishara ya mapambazuko
emmyguy nasema piga kazi
kuna kabila hilo hayo mambo wameyafanya diniSawa mkuu...Good
Pombe ni mbaya tuu ukiwa mlevi..
Sikusemei wewe, najaribu kumsemea yeye maana anajiandaa kumpindua mtu. Ngoja tusubiri labda upepo unaweza badilika.Siku hizi nimeacha mpinduo mkuu..
Manake angekuwa wangu in a hour..
nguvu moja haina kufeli
Dini hairuhusu kwangu.Kunyweni pombe kwa kiasi mfurahie maisha
Mkinywa kwa sifa ndio tatizo
.
.
.
*Mitungi,blant,mikasi
Ukitaka vitu hivi lazima mifukoni mwako kuwe safi
By Ngwair
.....
Ishia hapo hapo tuu manake mimi mwenyewe naweza kukushughulikiakuna kabila hilo hayo mambo wameyafanya dini
naomba niishie hapa mkuu
ina maana sisi waafrika safari 3 chaliii, maana hatuna macho ya blue labda yale ya bandia kwa akina dada













Mlevi nomaaaaaa 

♂♂♂♂♂♂♂♂Hahahaaa!Sikusemei wewe, najaribu kumsemea yeye maana anajiandaa kumpindua mtu. Ngoja tusubiri labda upepo unaweza badilika.
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Sijui nimchombeze vipi huyu mrembo aingie 'kingi'.Uje umasaidie mmdogo wako emmguy
Unaniabisha ujue..Sijui nimchombeze vipi huyu mrembo aingie 'kingi'.
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Upo kama mimi.hahahaha situmii hivyo vitu mkuu, me mshamba kweli kwa hzo vitu
Kuna siku nilimkuta bitoz mahali anakula tikila..
Hiyo ukipiga unakula hadi ndimu
Asante kaka.nguvu moja haina kufeli
all the best
Duh!! Huo ni ulevi au ni hasara.Cheka Unenepee:
HUYU NDIE MLEVI!!!!!:
1,Akipata kazi ANALEWA
2,Akifukuzwa kazi ANALEWA
3,Akioa ANALEWA
4,Akiachika ANALEWA,5,Akifurahi ANALEWA,
6,Akichukia ANALEWA
7,Akipandishwa cheo ANALEWA,
8,Akishushwa ANALEWA
9,Akijenga nyumba ANALEWA
10,Akinunua gar ANALEWA
11,Akipata ajali ANALEWA,
12,Akimpata mtoto ANALEWA
13,Akifiwa ANALEWA
14,Akisifiwa ANALEWA
15,Akikosolewa ANALEWA
16,Akishiba ANALEWA
17,Akiwa na njaa ANALEWA
18,Timu yake ikishinda ANALEWA
19,Timu yake ikifungwa ANALEWA
LABDA AFE TUU NDIO HATALEWA*Mlevi nomaaaaaa
♂♂♂♂♂♂♂♂
Hahahaaa!
Ampindue Husna muba wa shedede ..
Shedede arudi kuwa mlinzi wa shunie
wanataka kumteka na yeye sijui anapenda kutekwaRelax shunie...
Lee ni wako tuu...