Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hahahha shedede na husna watakubali kupinduliwaHahahaaa!
Ampindue Husna muba wa shedede ..
Shedede arudi kuwa mlinzi wa shunie
hahahha shedede na husna watakubali kupinduliwaHahahaaa!
Ampindue Husna muba wa shedede ..
Shedede arudi kuwa mlinzi wa shunie
MhNimeacha mimi mkuu![]()
shemela wa kwangu mm apa nimekumiss jamaan jana nimeingia usiku sijakuonaAsante, nipo mji mkongwe maeneo ya ngome kongwe naangalia structure za zamani
hahahah wanaume wote wangekua kama wewe hivyo wanavyoimbisha hamna ambae angekataliwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ukinikubalia mie nitakufanyia 'wonders' za hatari mrembo. Nitaanzia na![]()
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa!Cheka Unenepee:
HUYU NDIE MLEVI!!!!!:
1,Akipata kazi ANALEWA
2,Akifukuzwa kazi ANALEWA
3,Akioa ANALEWA
4,Akiachika ANALEWA,5,Akifurahi ANALEWA,
6,Akichukia ANALEWA
7,Akipandishwa cheo ANALEWA,
8,Akishushwa ANALEWA
9,Akijenga nyumba ANALEWA
10,Akinunua gar ANALEWA
11,Akipata ajali ANALEWA,
12,Akimpata mtoto ANALEWA
13,Akifiwa ANALEWA
14,Akisifiwa ANALEWA
15,Akikosolewa ANALEWA
16,Akishiba ANALEWA
17,Akiwa na njaa ANALEWA
18,Timu yake ikishinda ANALEWA
19,Timu yake ikifungwa ANALEWA
LABDA AFE TUU NDIO HATALEWA*Mlevi nomaaaaaa
♂♂♂♂♂♂♂♂
bado nimekuja kumuangalia lee wanguUmepona wewe kwanza..?
Pole shem lake
Nakusalimu pia ClkeyNawasalimia![]()
He will back...!wanataka kumteka na yeye sijui anapenda kutekwa
Kama unaiona vile...Mh
toka lini
Lee hayupo ...rudi pumzika mamabado nimekuja kumuangalia lee wangu
akirudi kama nimetoka mpe salaam zangu nilikuja kumsalimia kivuruge wangu nimemmiss tuHe will back...!
Labda ikite semina elekezi inachukua muda sana...
ngoja nipumzike T naomba umlinde naona anapenda kutekwa msalimie dada angu jamaanLee hayupo ...rudi pumzika mama
Karibu hujachelewa ,makapuku kuhama ningumuNataka nijisajiri upya humu Kp
Mnipokee tafadhari..
Pouwa...akirudi kama nimetoka mpe salaam zangu nilikuja kumsalimia kivuruge wangu nimemmiss tu
Yupo hapa tuuu...anasugua masikio yangungoja nipumzike T naomba umlinde naona anapenda kutekwa msalimie dada angu jamaan


Yupo hapa tuuu...anasugua masikio yangu![]()
mnanitamanisha au sijui ndio mana naumwa umwa hamu zimezidi lee wangu ufanye tu urudiPouwa...
Nipo na sakayo mimi..tunatekenyana tuu