Makapuku Forum

Makapuku Forum

Malcom X enzi za uhai wake aliwahi kukanyaga Zanzibar na kufanya mazungumzo na msomi mahiri kuwahi kutokea Zanzibar na mwanamapinduzi Abdulrahman Mohamed Babu kuhusu masuala ya Ujamaa na haki za watu weusi.

Bahati mbaya Babu hakuwahi kupatana na Karume na akahamishiwa Bara kikazi baada ya Muungano. Ni mmoja kati ya waasisi wa Muungano.

Bitoz tunaomba picha za Malcom X na Babu.
Umenifanya nikumbuke hii Nukuu Mkuu..

f7f618cb10ce692d0bc208fbd1305ee8.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom