giza totoro ni ishara ya mapambazukoKisicho riziki.... Ngoja nione kwa mara ya mwisho.
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Siku hizi nimeacha mpinduo mkuu..
Kunyweni pombe kwa kiasi mfurahie maishaDoooh
Mzee wa Tikila inakuhusu hiisi mchezo

Nimeacha mimi mkuuKunyweni pombe kwa kiasi mfurahie maisha
Mkinywa kwa sifa ndio tatizo
.....

ina maana sisi waafrika safari 3 chaliii, maana hatuna macho ya blue labda yale ya bandia kwa akina dada
Uje umasaidie mmdogo wako emmguyNataka nijisajiri upya humu Kp
Mnipokee tafadhari..
ni hatari kwa afya
shukuranEnd![]()
...
Mi mara mojamojaNimeacha mimi mkuu![]()
hahahaha situmii hivyo vitu mkuu, me mshamba kweli kwa hzo vituMzee wa Tikila inakuhusu hii![]()
Whisky unakula mkuu?Mi mara mojamoja
Yaani siyo mlevi
Napiga Castle mbili hiyooo gheto nalala
Sinywi mataputapu
.......
Kuna siku nilimkuta bitoz mahali anakula tikila..hahahaha situmii hivyo vitu mkuu, me mshamba kweli kwa hzo vitu
Hapanani hatari kwa afya
Hapana vileo vikali sipigi kabisaWhisky unakula mkuu?
situmii mkuu, vitu vyenye alcohol sigusi hata iwe 1%Whisky unakula mkuu?
bitoz anapiga kwa afya amesemaKuna siku nilimkuta bitoz mahali anakula tikila..
Hiyo ukipiga unakula hadi ndimu
Sawa mkuu...Goodsitumii mkuu, vitu vyenye alcohol sigusi hata iwe 1%