Swalama.Jaman kwema humu ,?Mko salma salmini??
Ni nzuri Mkuu, tunazidi kulisukuma gurudumu.Salama tu mkuu
Habari yako
Tuko pamojaNi nzuri Mkuu, tunazidi kulisukuma gurudumu.
Malcom X enzi za uhai wake aliwahi kukanyaga Zanzibar na kufanya mazungumzo na msomi mahiri kuwahi kutokea Zanzibar na mwanamapinduzi Abdulrahman Mohamed Babu kuhusu masuala ya Ujamaa na haki za watu weusi.
Bahati mbaya Babu hakuwahi kupatana na Karume na akahamishiwa Bara kikazi baada ya Muungano. Ni mmoja kati ya waasisi wa Muungano.
Bitoz tunaomba picha za Malcom X na Babu.
Cc EMMYGUYmke ninae
ila sasa presha kila siku make sijui anatupenda wangapiii
Nilitumia neno "nafikiri"German machine hiyo
yap ni kweli nimejichanganya nilijua LehmannSpain
Ndio maana mke wa JFK akaona kuliko kwenda kuadhirika na kuumia moyo akawachukua watoto na kwenda kuangalia mbio za farasi.
Jambo pekee la kumtenganisha JFK na Ms Monroe ilikuwa ni kifo tu.
Na hapo ndipo dikteta John Edgar Hoover alipotekeleza majukumu yake.
swalama sijui ww?Swalama.
Sio hawakujua bali wote wamepiga dili na kupewa mgao waoIla hatujitambui, wananufaika wengine.
Haishangazi kuona Twiga wakipanda ndege wakati sisi wenyewe tumelala, tuna vyombo vyote vya Ulinzi na usalama lakini hawakujua.
Sijawahi kujuta kuwa Mwafrika.
Pamoja sana mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
.
.
.
.
Ahsante mkuu kwa historia
Tukukabe jioni kwenye 10 kubwa
.......
Shemela ugua poleBaba nikiwa sipo ndio yanakua haya naachika ghafla

Hakika mkuu.![]()
![]()
![]()
Ni kweli aliwahi kuja Zenji
Nyerere na Karume mapungufu yao mengi yanafichwa
Kila aliyejaribu kuwakosoa ilikuwa ni km anakosoa nchi nzima
.....
Aseno YuropaEngland EPL
Hongera kwa Harry Kane kwa kutupia goli 4 na kuongoza mbio za ufungaji bora
![]()
Ufungaji
Msimamo ulivyo sasa![]()
![]()
![]()
