Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Wewe acha hizo mambo...Jitahidi leo iwe.
Unamjua sakayo kweli wewe?
Wewe acha hizo mambo...Jitahidi leo iwe.
Ni nyingi mno tena inaaminika Ms Monroe aliwachanganya wote wawili JFk na RFk ambaye alikuwa mwanasheria Mkuu wa Serikali.Kuna conspirancy theories kuhusu JFk kupenda totoz na kifo cha ms monroe?
1969 - Abdallah Kassim Hanga anapelekwa Zanzibar kujibu mashtaka yake ua Uhani dhidi ya Serikali ya Rais Abeid Amani Karume.
Hanga alikuwa ni mmoja kati ya Wanamapinduzi wa Zanzibar walioshiriki kikamikifu katika kuondoa utawala dhalimu wa Mwarabu visiwani humo.
Baada ya mapinduzi akawa Waziri Mkuu wa kwanza wa Zanzibar kwa miezi mitatu kabla ya kukosana na Karume na kuhamishiwa Bara ambapo baadae akenda kuwa Balozi.
Baada ya tuhuma za Uhaini, kujaribu kupindua serikali ya Karume akarudishwa nyumbani na kuwekwa kizuizini Tz Bara.
Karume akamuimba Nyerere apelekewe Hanga ili akajibu tuhuma zake.
Nyerere akakubali kumpeleka Kassim Hanga Zanziba, ambapo hakuwahi kupandishwa mahakamani waka hakuwahi kuonekana tena mpaka leo. Aliuwawa na kuzikwa kusikojulikana.
Morning youMorning all
Leo Katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Jinena Jimeneza JJ, niwatakie siku njema na Ijumaa iliyo murua kwako.
Ijumaa Karim.
Amina.Ndio maana mke wa JFK akaona kuliko kwenda kuadhirika na kuumia moyo akawachukua watoto na kwenda kuangalia mbio za farasi.![]()
![]()
![]()
![]()
Picha zinaonyesha kimada wake(Marilyn Monroe) alihudhuria na hata kuhutubia
.......
Salam kabisa mambo vipiWanafamilia habari ya asubuhi..
Zenji bado wanaipenda CCM![]()
![]()
Zenji wanasubiri mini?
.....
Kwani tatizo liko wapi!?Wewe acha hizo mambo...
Unamjua sakayo kweli wewe?
1977 - Manuel Almunia anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Arsenal.
Nchi imejaa maigizo hii
Mungu mkubwa. Habari ya siku vipi?Salam kabisa mambo vipi
Mkuu kutakatisha pesa ndio kunafanyikaje?
1979 - Andrea Pirlo anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Italy na vilabu vya Juventus, Ac Milan, Inter Milan na L.A Galaxy.
Maarufu kama " The architecture " ni moja kati ya viungo bora kuwahi kutokea katika mchezo wa kabumbu.
Ameshinda karibu kila taji katika soka.
Malcom X enzi za uhai wake aliwahi kukanyaga Zanzibar na kufanya mazungumzo na msomi mahiri kuwahi kutokea Zanzibar na mwanamapinduzi Abdulrahman Mohamed Babu kuhusu masuala ya Ujamaa na haki za watu weusi.![]()
![]()
![]()
![]()
Enzi za babu hilo la FBI watu wengi walikuwa wananyamazishwa kimyakimya
.......
Naona Mwananchi wamejaa siasa front page
Shukrani mkuu shululuMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa mzee wa fungate tetramelyz, ijumaa njema
Ahsante sana bossNUKUU YA LEO
“The pain of life overrides the joy to the point that joy does not exist.”
Maumivu ya maisha yametowesha furaha kiasi kwamba hakuna furaha tena
Haya ni maandishi wala sio maneno, ni maandishi yaliyoachwa kwenye ujumbe kabla ya kifo ( suicidal note) na mwanajeshi/ maandishi na mpiga picha maarufu Bw. Kevin Carter.
Kevin Carter alizaliwa nchini Afrika ya kusini tar. 13/9/1960 na kufariki tar 27/07/1994 kwa kujifungia kwenye gari yake na kuvuta hewa ya carbonmonoxide.
Kevin carter alikuwa na mwanajeshi wa jeshi la wakaburu miaka ya 1980, alifanya kazi kamandi ya infantry kabla ya kukimbilia kamandi ya anga baada ya kutoweza kuvumilia mauaji ya watu weusi.
Kevin aliumizwa sana na ubaguzi wa watu weusi, kevin aliumia sana namna watu weusi wivyouliwa, wanawake kibakwa n.k
Baadaye kevin aliondoka jeshini nila ruhusa (Awol) absence without leave.
Kevin alipata umaarufu mwaka 1993 baada ya picha yake aliyopiga nchini sudan , kevin alimpiga picha mtoto mwenye njaa na mdhoofu akiwa anafuatiliwa na kunguru.
Kevin alitumia zaidi ya dakika 10 kupiga picha hiyo...ambayo ilikuja kuwa maarufu duniani kote na kupelekea kupata tuzo ya Pultizer Prize ya upigajipicha.
Kevin aliumizwa na maisha waliyoishi watu weusi..
picha aliyopiga Kevin Carter nchini sudani![]()
Back to Jf and kapukuz...
Ktk maisha ya kila siku kuna watu wanaishi maisha ya tabu kwa kukosa chakula, kwa kudhulimiwa na kifanyiwa fitina katika maisha..
Kama utashindwa kuwasaidia kwa nafasi yako, basi jitahidi usiwe sehemu ya watesaji.
kevin Carter mwenyewe.![]()
Jtatu nitaendeleza Suicide note ya Kevin Carter.
Imefanyaje?Makapuku Forum
Peruzi nyumaMbona sijaiona hiyo segment mkuu