Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
unaendeleaje na ugonjwaJamaan namjulia wapi mimi yule mtu usinifanyie hivyo
unaendeleaje na ugonjwaJamaan namjulia wapi mimi yule mtu usinifanyie hivyo
daah sikujua kuwa unaumwa, nimejua baada ya kuona messages zako now pole sana shunii wetuhapana niliingia mara moja kuwasalimia bada ya kujiskia nafuu kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] aliwahi kuni-snitch
Back to back
Kweliiongea ww shedede ugonjwa unakuja bila taarifa
[emoji134]Pole mamy wangu
Kanatania tu kajamaa
Ila punguza pressure dada usizidiwe..
Tumia dawa vzr
Kula vzr
Usimuwaze lee
Rejea hiyo post yako uone ni ya ngapi?[emoji15] ndo nini? Mashikolo
Vizuri sana mkuuIndeed, leo nimeshawika kurudi rasmi.
kiasi maumivu yamepungua kichwa kilikua kinaniuma sanaunaendeleaje na ugonjwa
[emoji106]Simjui huyo mtu jamaan wala sihitaji kumjua halaf mapenzi ya limbwata hakunaga huwa siamini hayo mambo mm nina Yesu ndio anaenilinda
Usiku Mwema mrembo.Jamani nahisi muda wangu wa kupumzika umefika
Bado mgeniInaonekana hajui.
Ooh nimeelewa sasa. ThanksRejea hiyo post yako uone ni ya ngapi?
mke ninaeUNA MKE?
NdioKumbe alikuwepo mda eeh hongera zake
baby nakupenda wewe tu hivi nifanye nini ili uamini au nikupe password ya jfmke ninae
ila sasa presha kila siku make sijui anatupenda wangapiii
Intelejensia tu mkuu.duuuuh inaonekana una taarifa zake muhimu
Harry Kane moto wa kuotea mbaliNetherlands EREDIVISIE
![]()
Tukutane baadae kwenye ratiba nyingine pamoja na unbelievable fact
Muwe na usiku mwanana
Namuelekeza ili atambue mchango wakoNi nani huyo jamani!!???
pole ..vipi kuna aliyeandika thread kuwa unaumwa make nimeshangaa wengi wanajua ,,mimi sina habarikiasi maumivu yamepungua kichwa kilikua kinaniuma sana