EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Ndo hapo sasa.Kama ni zake ana haki nazo azitumie tu
Kwanini wamshikilie?
Ndo hapo sasa.Kama ni zake ana haki nazo azitumie tu
Kwanini wamshikilie?
Iko gud sana. Vipi kwako!asanteni kwa vipindi brazas
shululu mzee wa minyuz
Mussolin historia
Transcend kanukuu nimekaelewa
Bitoz mzee wa mapicha picha
Nyagei wa UF nasubiria ratiba
habari za asubuhi familia yangu
Tuko pamoja

Lee anakitamaa flani, labda kama atakuwa anahitaji ndoa ya mitala.Cc EMMYGUY
Mungu Mkubwa.swalama sijui ww?
uko swafiii?
Iko njema sana. Lete habari!Goodmorning family.....
Ni kweli aiseeeMungu Mkubwa.
Naona raia wamebanwa na majukumu.Ni kweli aiseee
Babi acha tu maana tumepigwa roba za shingo kuchoma ni mapenzi ya mungu,ndonana raia wanakukuruka sanaNaona raia wamebanwa na majukumu.
Ahsante mkuu kwa picha maridhawa.![]()
Alikuwa amefariki dunia chumbani kwake August 5 1962![]()
Huku pembeni nikiwa na kilaji na dawa za kule vya(inasemekana ziliwekwa tu ili kupoteza ushahidi)
Ni kifo chenye utata zaidi km cha JFK mwenyewe kilichomkuta
......
Uko sahihi.Sio hawakujua bali wote wamepiga dili na kupewa mgao wao
![]()
![]()
![]()
.....
Zambi tena!Nitaishia kukutega baba paroko unisababishie dhambi bure
Zambi tena!Nitaishia kukutega baba paroko unisababishie dhambi bure
Ee tena zambi za kujitakiaZambi tena!
Mwaka huu ni hatari.Babi acha tu maana tumepigwa roba za shingo kuchoma ni mapenzi ya mungu,ndonana raia wanakukuruka sana
Acha tu aisee kila kitu ni shida kiongozi wangu ,.
Anawaombea mabaya wa juu yakeAseno Yuropa![]()
![]()
Kuna namna hapoNdo hapo sasa.