Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia:
1911 - Hifadhi ya Taifa ya Parks Canada yaanzishwa.
Ndio Hifadhi ya Taifa ya kwanza Kuanzishwa Duniani.
Ila Afrika ndo bara lenye wanuamapori wa ukweli
.....
Leo katika Historia:
1911 - Hifadhi ya Taifa ya Parks Canada yaanzishwa.
Ndio Hifadhi ya Taifa ya kwanza Kuanzishwa Duniani.
1950 - Misri inatangaza kuzuia meli za Kiisrael Kufanya shughuli za usafiri na kibiashara katika Mfereji wa Suez.
Ujumbe mzito sanaNUKUU YA LEO
“The pain of life overrides the joy to the point that joy does not exist.”
Maumivu ya maisha yametowesha furaha kiasi kwamba hakuna furaha tena
Haya ni maandishi wala sio maneno, ni maandishi yaliyoachwa kwenye ujumbe kabla ya kifo ( suicidal note) na mwanajeshi/ maandishi na mpiga picha maarufu Bw. Kevin Carter.
Kevin Carter alizaliwa nchini Afrika ya kusini tar. 13/9/1960 na kufariki tar 27/07/1994 kwa kujifungia kwenye gari yake na kuvuta hewa ya carbonmonoxide.
Kevin carter alikuwa na mwanajeshi wa jeshi la wakaburu miaka ya 1980, alifanya kazi kamandi ya infantry kabla ya kukimbilia kamandi ya anga baada ya kutoweza kuvumilia mauaji ya watu weusi.
Kevin aliumizwa sana na ubaguzi wa watu weusi, kevin aliumia sana namna watu weusi wivyouliwa, wanawake kibakwa n.k
Baadaye kevin aliondoka jeshini nila ruhusa (Awol) absence without leave.
Kevin alipata umaarufu mwaka 1993 baada ya picha yake aliyopiga nchini sudan , kevin alimpiga picha mtoto mwenye njaa na mdhoofu akiwa anafuatiliwa na kunguru.
Kevin alitumia zaidi ya dakika 10 kupiga picha hiyo...ambayo ilikuja kuwa maarufu duniani kote na kupelekea kupata tuzo ya Pultizer Prize ya upigajipicha.
Kevin aliumizwa na maisha waliyoishi watu weusi..
picha aliyopiga Kevin Carter nchini sudani![]()
Back to Jf and kapukuz...
Ktk maisha ya kila siku kuna watu wanaishi maisha ya tabu kwa kukosa chakula, kwa kudhulimiwa na kifanyiwa fitina katika maisha..
Kama utashindwa kuwasaidia kwa nafasi yako, basi jitahidi usiwe sehemu ya watesaji.
kevin Carter mwenyewe.![]()
Jtatu nitaendeleza Suicide note ya Kevin Carter.
Morning all

Nafikiri ubongo wa Gumbo upo tboni ndiyo maana kila siku anafanya upuuzi tu
Pamoja mkuu..Asante mkuu.
Take it mkuu...Ujumbe mzito sana
.....
Umeamkaje kiongozi?Nyie hamlali
SafiUmeamkaje kiongozi?
Kuna conspirancy theories kuhusu JFk kupenda totoz na kifo cha ms monroe?1962 - Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Rais John F. Kennedy ( JFK ) inafanyika katika ukumbi wa Madison Square Garden huko New York.
Sherehe hiyo ilifanyika siku 10 kabla ya siku halisi ya kuzaliwa kwa Rais Kennedy ambapo watu 15,000 walihudhuria.
Mtumbuizaji katika sherehe hiyo alikuwa mrembo maarufu wa miaka hiyo, Marilyn Monroe ambaye aliimba nyimbo maalum kwa JFK iitwayo " Happy Birthday Mr President "
Marilyn Monroe alizua gumzo kutokana na gauni lake alilotupia siku hiyo. Gauni hilo lilikuja kupigwa mnada mwaka 1999 kwa Dola Milioni 1.26
Na ilikuwa ni mara ya mwisho kwa Marilyn Monroe kuonekana hadharani kabla ya kifo tata kumkumba.
Katika sherehe hiyo, jambo la kushangaza ni kuwa Mke wa Rais, Jacquline Kennedy hakuhudhuria yeye pamoja na wanae. Badala yake alienda na wanae kuangalia mbio za farasi.
Kwani vitandani huwa wanafanya nini?Na nani?
Unanitamanisha ujue..
1962 - Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Rais John F. Kennedy ( JFK ) inafanyika katika ukumbi wa Madison Square Garden huko New York.
Sherehe hiyo ilifanyika siku 10 kabla ya siku halisi ya kuzaliwa kwa Rais Kennedy ambapo watu 15,000 walihudhuria.
Mtumbuizaji katika sherehe hiyo alikuwa mrembo maarufu wa miaka hiyo, Marilyn Monroe ambaye aliimba nyimbo maalum kwa JFK iitwayo " Happy Birthday Mr President "
Marilyn Monroe alizua gumzo kutokana na gauni lake alilotupia siku hiyo. Gauni hilo lilikuja kupigwa mnada mwaka 1999 kwa Dola Milioni 1.26
Na ilikuwa ni mara ya mwisho kwa Marilyn Monroe kuonekana hadharani kabla ya kifo tata kumkumba.
Katika sherehe hiyo, jambo la kushangaza ni kuwa Mke wa Rais, Jacquline Kennedy hakuhudhuria yeye pamoja na wanae. Badala yake alienda na wanae kuangalia mbio za farasi.
Asante Mkuu.NUKUU YA LEO