Makapuku Forum

Makapuku Forum

Good music babaa
Thanks for it.
Ila Obe itanichukua muda mrefu kuamini kua ww na Shimba ni watu tofauti..

Kwanza, asante kwa kusoma segment ya utamu wa gitaa. Ninajisikia vizuri mdau kama wewe akichukua muda wake adhimu kusoma nilichotupia.
Sio wote wanaopenda sauti za gitaa. Nakushukuru na inanipa nguvu ya kuandaa na kujiandaa zaidi.
Umekuwa ukidhani hivyo mara kwa mara, ipo siku uraona tofauti yetu katika kuandika.

Mdau, wanasema duniani wawili wawili na tone yangu ya kuandika ni tofauti kidogo na SHIMBA YA BUYENZE . Mimi naandika kiurahisirahisi, yeye huandika tofauti na mimi.

Ni kama maandishi ya Sembene Ousmane na Ngugi
 
Kweli wewe popo aisee nimekubali.

Shimba Hua anatumia picha kwenye post zake hapo ndio mmepishana..
 
IMG-20170519-WA0022.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom