Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimewamiss jamaan sana mashemela zangu na mama mchungaji nawapenda sana

miss u lee wangu nakupenda sana nimekumiss mpk naumwa

nimejiskia nafuu kidogo nimepita kuwasalimia kichwa kilikua kinaniuma sana nikaenda kupima nimeambiwa nina malaria

muwe na usiku mwema nawapenda sana
Asante naww pia shem
 
hivi kweli wewe ni wa kuumwa mimi nisijuee...kwelii lile lijamaaa liliamua aiiiseeeeh
jamaa yupi huyo kichwa kilikua kinaniuma sana hata simu naona mzigo naizima sakayo kanipigia jana jioni kanipata ananiuliza namwambia naumwa sana hata simu naona mzigo tu

ndio unanilipa haya mpenzi wangu niliyoyakuta usinifanyie hivi lee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom