Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
umerudi?kwahiyo nimekuharibia
umerudi?kwahiyo nimekuharibia
mdomo huoUgua pole ila Lee wako anaibiwa huku
[emoji106] Poa usijari mpwa wangu.Akifika unishtue
Haha..hUtanielewa tu.
mkuu mlitekwa?hahahaha ila nimekuogopa kumbe kazi unaifanya kisiri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseePole dada
Mpe limbwata basi
Eti muosha rungu alikua kakuteka..
Jamani jamani.Hebu subiri. Nakuweka kwenye waiting list.
hilo hilo lijamaaa ndo limenifikishaa hapaPole dada
Mpe limbwata basi
Eti muosha rungu alikua kakuteka..
haya niliyoyakuta me nalala nikutakie tu usiku mwema ulale salama huko ulipo nakupenda [emoji8]nini tena
ongea ww shedede ugonjwa unakuja bila taarifaAta mimi nashangaa ati wew kuumwa ni kumkimbia??
Karibu.
Simjui huyo mtu jamaan wala sihitaji kumjua halaf mapenzi ya limbwata hakunaga huwa siamini hayo mambo mm nina Yesu ndio anaenilindaPole dada
Mpe limbwata basi
Eti muosha rungu alikua kakuteka..
sasa mimi ningeliota kuwa anaumwa ?Ata mimi nashangaa ati wew kuumwa ni kumkimbia??
hapana niliingia mara moja kuwasalimia bada ya kujiskia nafuu kidogoumerudi?
baby mambo ya jf usichukulie serious jitu linakurupuka tuhilo hilo lijamaaa ndo limenifikishaa hapa
utamu wa yesu ushauonja kweli?Simjui huyo mtu jamaan wala sihitaji kumjua halaf mapenzi ya limbwata hakunaga huwa siamini hayo mambo mm nina Yesu ndio anaenilinda