Makapuku Forum

Makapuku Forum

sasa mimi ningeliota kuwa anaumwa ?
Kama hujui kuwa mkeo yupo na hali gani means hau-care kuhusu yeye yani wewe mpaka uote ndo ujue kuwa mkeo anaumwa kibaya zaidi una-cheat mbele yangu kazi niliacha ndio ila kuna hatar nikarudi sio kwaajili yako hapana ni kwaajili ya kumtetea shunie....[emoji30][emoji30]
 
ndio mana nakupenda shedede nimependa mistari ya mwisho
 
usiku mwema kwa mara ingine tutaonana nikipona nitarudi rasmi

lee naomba tu uwe makini sipati picha ungerudi wewe unikute nataniwa hivyo nilivyokuta navuta picha tu ambacho kingetokea

mm huwa sipendi sana mautani ya hivyo

uwe na usiku mwema nakupendaa [emoji8] na nimekumiss sana hunnie
 
Back
Top Bottom