Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Mungu mkubwaa!!Biashara zangu zinaenda vizuri
Hadi raha
Mungu mkubwaa!!Biashara zangu zinaenda vizuri
Hadi raha
achana nao make wote hao wamekutana pasua kichwa wana nyota ya kukimbiwaa
wenye chuki binafsi utawajua tu
Ni nani huyo jamani!!???Rudi page za mwanzo kabisa utamuona
Vodka iko poa ausio mkuu??Sio mbaya mkuu kunywa kwa niaba
SanaMungu mkubwaa!!
Sie tupo couple na tunapendana aswaaa

AsantePole sana mkuu
O.k. mkuuAina hii sijawahi onja! Thank you shedede!
raha sana ,kesho nipitieBiashara zangu zinaenda vizuri
Hadi raha
Mh!shededeCc:shunie
Kariburaha sana ,kesho nipitie
Ucjal utapata na wwHadi nawaonea wivu.
Hahaha...ha naona unajisogeza karibu na mrembo kisa katoa lai kwamba anatafuta wa kumvutia shunie atakuua wwachana nao make wote hao wamekutana pasua kichwa wana nyota ya kukimbiwaa

Kwann mkuu??Nahisi kuna sehemu alipita kabla ya kurudi nyumbani.
karibu tulisongesheee dudeee kapukuniiiIndeed, leo nimeshawika kurudi rasmi.