Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Jambo jemaNimeshafika Mkuu.
Cc. SakayoMuulize Shimba ya Buyenze..
Kwa ufupi tuu kuna totoz za haja..!![]()
Kikubwa jitahidi kukariri njia mliyopitia usije kupotea kama akikutoroka ama akiopoa.Msubiri kwanza Shimba..ili usipotee njia.
Mwenyewe nimepelekwa tuu huko ,sijui kusini wala kaskazini huku
Kumbe we ni meAcha wewe.... Usifanye nikawafuata mda huu huko mlipo.
![]()
![]()
![]()

Yupo cool sana
Jisikie mwenyeji mkuuNajihisi mi mgeni humu ndani hadi najishangaa.
NiniBitoz + emmyguy naomba nifaamishwe kidogo![]()
Naye yupo honeymoonKisheti yuko wapi?
Tupe updatesAisee Niko kwa kina Shimba ya Buyenze leo
Na mimi sioni direction nahisi nimepotea njia.Najihisi mi mgeni humu ndani hadi najishangaa.
KolomijeMuulize Shimba ya Buyenze..
Kwa ufupi tuu kuna totoz za haja..!![]()
Mkuu unatumia kinywaji gani?Good!
Kuona sura mpya au?Najihisi mi mgeni humu ndani hadi najishangaa.
Namuona tu bossCc. Sakayo
Si kasema kapotea jamaniUliingiaje![]()
![]()
![]()