Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,512
- 94,649
Nichagulie..Na mie nataka nkuletee kinywaji.
Nichagulie..Na mie nataka nkuletee kinywaji.
Mmh mapema lakiniNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Mlindwe kwa damu ya yesu
Leo nipo zamu hapa kituoni, yeye aje tu hakuna tatizo.Pita kushoto then kata kulia nenda na ile barabara moja kwa moja utakuta police post jieleze hapo na utasaidiwa
Hujui km anaumwa?!shunie kakimbiliaa wapiii ?
Ni kawaidaHii mpya kwangu! Mtongozo hadharani?
Usijari Mkuu, kesho nitampigia simu.Kazana mkuu
Hehehe ringaga mamy wanguKupendwa raha jamaniii
Ni kwa Kagame mkuu sio chattleKama ni huko mie siendi.
AmenNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Mlindwe kwa damu ya yesu
Duh hayaNi kawaida
HahahaAligoma kunipa penshen msukuma mwenyewe haeleweki kunipa mashamba ety mpaka nimruhusu apewe dawa na husna na mimi sitaki kumpoteza husna wangu kwa msukuma aka maneno kumi.......
![]()
![]()
Uko poakwema mkuu
Rudi page za mwanzo kabisa utamuonaAta mimi namshangaa ila kwenye Uzi wangu alisema ye ni kapuku
mmmmmh sijuii...anaumwa nini ?Hujui km anaumwa?!
Ni mtandao tu mkuuNiliona avatar ya bitoz ipo kwa emmyguy nikajua labda wapo couple
Hii mpya kwangu! Mtongozo hadharani?