EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414

Hahaha..ha mkuu sijamteka mimiPoa kabisa, kuacha tu kazi ya ulinzi, shemela shunie akatekwa, hukula mchongo kweli
SwalamaaWakuu nime-sikipu mu haligani
Kisheti yuko wapi?Uko poa former bodyguard
Shukrani mkuuSerengeti Boys wapo vizuri tatizo wafupi km stuli pia kukosekana kwa mpiga freekick mjanjamjanja ni tatizo pamoja na kushindwa kuua mechi
Kuna watu hapa tulivyodraw na Mali walikuwa vinara wa kuponda eti jatimu gani kanapaki basi nikawauliza mnaijua Mali? Subirini mechi ijayo mtaona
Na leo wamezibwa midomo
Mechi ijayo tukikaza tunapiga tu na kusonga mbele maana hadi sasa Niger wanaona nyota tu kwa Mali
.........
Vizuri nakuona unakula pensheni tuniko frsh mkuu
Ni wapi huko Mkuu??Aisee Niko kwa kina Shimba ya Buyenze leo
Muulize Shimba ya Buyenze..Ni wapi huko Mkuu??


Khaa!Mim nimezamia kijiji cha ugenini Namapwia, wilaya ya Nachingwea, Mkoa wa Lindi
Ahsante kwa Top Ten Bitoz.....inaonekana Australia ndio yapo Mengi1/Lake Hillier![]()
![]()
Hili pia lipo Australia
Rangi yake ni ya kudumu hata maji yake yakichotwa bado hubakia vilevile
Wanasayansi hadi leo hawajui sababu
.
.
.
.
.
Shukrani kwa waliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
Acha wewe.... Usifanye nikawafuata mda huu huko mlipo.Muulize Shimba ya Buyenze..
Kwa ufupi tuu kuna totoz za haja..!![]()

TupoKapukuz mpo?
Mrejesho tafadhalihili pira kazi ipo
HT: Mali 2-1 Niger
Good!Tupo
Msubiri kwanza Shimba..ili usipotee njia.Acha wewe.... Usifanye nikawafuata mda huu huko mlipo.
![]()
![]()
![]()