shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kanda ya ziwa hawajambo hukoShukrani shem wane Tumosa
Kanda ya ziwa hawajambo hukoShukrani shem wane Tumosa
Nimeona aiseeNi shem aisee
Ehee, aisee![]()
![]()
![]()
![]()
ulijua shedede
Thanks bitoz![]()
End
...........
Ha hahahahah, na hasa pilipili. Ukienda kula kwenye migahawa yao wanakuuliza, kwa kiwango cha 1-5 utapenda pilipili iweje kwenye oda yako? Binafsi nikasema 2 na ikawa balaa tupu nikajiuliza anayetaka 5 huo msosi unakuwaje

Safi maaamboWakuu habar ya saiv

Hiyo niya lukaku tu, Kane labda leo afunge, angekuwa Delle yupo hapo angeweza kuchukua![]()
Lukaku,Kane & Sanchez mmoja atachukua Golden Boot J2
......
Hatujambo, ubusy ni mambo ya kawaida mkuu, tupo pamojaWakuu hamjambo, leo nilkuwa bize kidogo
Afande shedede vipWakuu habar ya saiv
Asante semejiPoleeee![]()
![]()
![]()
![]()
Mshenga yu wapiPoleeee![]()
![]()
![]()
![]()
AnaumwaaMshenga yu wapi
kweli kabisa bhinamuuAsante sana kwa kupata kijinafasi na kuja kutupa Hi.
Shangazi atakuwa amejituliza tu akikuwaza si unajua dunia imevaa kimini full kuchacharika
shunie ata sijui katekwa na lijibaba lile lililomuandikiaga post ?Oky shunie hajambooo
shunie ata sijui katekwa na lijibaba lile lililomuandikiaga post ?

Huku ni amani kabisa
Full utani
Utapata elimu na burudani non stop
Asubuhi utapata neno la uzima kuna magazeti na historia +picha
Baadae kuna Je wajua na ratiba za michezo
Kisha story
Na jioni utapata 10 bora na neno la uzima kisha burudani ya muziki mzuri wa kulalia.
BTW nisikuchoshe na maneno mengi
Unatumia sharubati gani nikuletee
Mmmhshunie ata sijui katekwa na lijibaba lile lililomuandikiaga post ?
..............kwahiyo hujui alikoISAYA 59
1.Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka hata usiweze kuokoa ,wala sikio lake si zito lisiweze kusikia.
TUOMBE
Tunakushukuru BABA MUNGU kwa ulinzi wako umetuamsha salama.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote.
Asante kwa ulinzi wako usiku kucha.
Tunajikabidhi mikononi mwako mchana wa leo.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,wajane yatima na wahitaji.
Bariki kazi za mikono yetu
Bariki wasafiri angani nchi kavu na majini wafike salama
Bariki wamama wajawazito wapate kujifungua salama maana huo ni mpango wako kwetu sisi wanadamu
Wasaidie suluhisho sahihi wale wote wenye kupitia changamoto mbalimbali.
Asnte Baba mapenzi yako yatimizwe maana mkono wako haupungui kwetu,sikio lako linasikia kuomba kwetu.
Katika jina la Yesu,Amen![]()
SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
