sawa mkuuTupate ratiba ya mechi za leo
Kwa udhamini wa SHIMBA YA BUYENZE na Shedebe
![]()
Asante mkuu. Tuko pamoja na natumaini siku yako inaendelea vyema!Tupate ratiba ya mechi za leo
Kwa udhamini wa SHIMBA YA BUYENZE na Shedebe
![]()
Oohhhoo kwahiyo hukuuliza kabla ya kujigaia? mtoto mkali kama huyo unafikiri yupo yupo tu mjini hapa?![]()
![]()
![]()
Kwani wewe ni mstaafu?
Na aje harakaValentina njoo ueleze vzr hapa maana ww ndie unayejua
Furaha yako imekaa kichochezi zaidi
Nimeipokea kama ilivyokujaNUKUU YA LEO
If you want something New, you have to stop doing something old
Kama unataka kitu kipya, unapaswa kuacha kufanya kitu cha zamani
![]()
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mkufunzi, mwalimu na mwandishi wa mambo ya utawala na uongozi Bw. Peter Fernand Drucker.
Peter Drucker alizaliwa November 19 1909 nchini Austria na kufariki November 11 2005 ktk jiji la carlifonia nchini marekani.
Peter Drucker ni mkufunzi na mbobezi wa masuala ya uongozi na utawala..Amefanya kazi nyingi katka muda wa miaka 95 aliyoishi dunia
Peter Drucker ndio Father of modern management.
![]()
![]()
Back to Jf and kapukuz..
Ukitaka mambo mapya acha kufanya mambo ya zamani..
Maisha ni yako, uamuzi ni wako, hatua ni zako wewe mwenyewe.
Afande vipNzuri
Jibu murua kabisashululu
Afande vip

Naangalia hapaTupate ratiba ya mechi za leo
Kwa udhamini wa SHIMBA YA BUYENZE na Shedebe
![]()
Hongera kwa kudhaminiAsante mkuu. Tuko pamoja na natumaini siku yako inaendelea vyema!
Shukrani mkuu shululu kwa magazeti UbarikiweMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa katibu wa weka picha Jimena, tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Alhamis njema makapuku wote
Salama tu shemMakapuku habarini