Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Salama na kwako piaMmeamkaje wapendwa,nawatakia uwajibikaji mwema

Nko poa,asante kwa magazetiMorning sweetheart, umeamkaje,
si mchezo ila tutafika tu
Pamoja sana bitozUtani wa ngumi buu
Ni sawa na bichwa la mabondebonde na chogo kusifiwa eti handsome
.
.
Ahsante kwa magazeti
...........
Karibu ankaliPamoja sana ankali ake
Ubarikiwe BlessedHope! Kwa kutupatia chakula cha roho. You're blessed.43
1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)
HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU
-FAKALAVA
-LEE EMPIRE
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-HUSNA MUBA
-IPOGOLO
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO
Bas sawa..!! CaptainNi mtu
ISAYA 59

Amen mama mchungajiISAYA 59
1.Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka hata usiweze kuokoa ,wala sikio lake si zito lisiweze kusikia.
TUOMBE
Tunakushukuru BABA MUNGU kwa ulinzi wako umetuamsha salama.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote.
Asante kwa ulinzi wako usiku kucha.
Tunajikabidhi mikononi mwako mchana wa leo.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,wajane yatima na wahitaji.
Bariki kazi za mikono yetu
Bariki wasafiri angani nchi kavu na majini wafike salama
Bariki wamama wajawazito wapate kujifungua salama maana huo ni mpango wako kwetu sisi wanadamu
Wasaidie suluhisho sahihi wale wote wenye kupitia changamoto mbalimbali.
Asnte Baba mapenzi yako yatimizwe maana mkono wako haupungui kwetu,sikio lako linasikia kuomba kwetu.
Katika jina la Yesu,Amen![]()
SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
Amen!ISAYA 59

njema tu mkuu,habari za asubuhi
huku kwema mkuu sijui ninyi hukonjema tu mkuu,
kwema huko?
Amen mama mchungajiISAYA 59
1.Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka hata usiweze kuokoa ,wala sikio lake si zito lisiweze kusikia.
TUOMBE
Tunakushukuru BABA MUNGU kwa ulinzi wako umetuamsha salama.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote.
Asante kwa ulinzi wako usiku kucha.
Tunajikabidhi mikononi mwako mchana wa leo.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,wajane yatima na wahitaji.
Bariki kazi za mikono yetu
Bariki wasafiri angani nchi kavu na majini wafike salama
Bariki wamama wajawazito wapate kujifungua salama maana huo ni mpango wako kwetu sisi wanadamu
Wasaidie suluhisho sahihi wale wote wenye kupitia changamoto mbalimbali.
Asnte Baba mapenzi yako yatimizwe maana mkono wako haupungui kwetu,sikio lako linasikia kuomba kwetu.
Katika jina la Yesu,Amen![]()
SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
huku tunamshukuru Mungu kinaelewekahuku kwema mkuu sijui ninyi huko