Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Tutasaidiana Obe ondoa shaka, huwa unaweka lini mangoma?Asante mdau, nimerudi barabarani kidgo kidogo

Tutasaidiana Obe ondoa shaka, huwa unaweka lini mangoma?Asante mdau, nimerudi barabarani kidgo kidogo

Katibu wa weka pichaLong time no see!!
Usiku mwema na kwako pia.
Miss you mwenyekitiLong time no see!!
Usiku mwema na kwako pia.
Acha tu, maisha haya, tunaenda resi hadi simu zinakuwa nzitoUpo wewe, dah Umepotea sana
Mmh upo bi mdogo??Kwa kwa kwa!![]()
Tutasaidiana Obe ondoa shaka, huwa unaweka lini mangoma?![]()
Sawa mama laoUmeisha aisee
Sasa ntaanza kuonekana rasmi
bhinamu nisamehe kwa niaba ya kapuku wote ..yaani hapa ndo nimepata upenyo wa kulala kidogo nikapita kwa familia yangu pendwa
shangazi yako sijiu aliyemtolea ya moyoni kule ndo kamficha wala sielewii ,,
Basi segment yangu ya Old is gold nadhani inaweza ikabaki pale pale, cos nahisi haudeal na miziki ya zamani yes?Asante.
Huwa naweka kila siku na kuna utofauti kidgo kwa ninazopandisha hapa. Mimi hujikita zaidi kwa wapigaji wa gitaa, ninamchagua mmoja, nasaka historia yake (wengi nimesikiza nyimbo zao) na kushare na wadau.
Clip nazotupia nyingi ni za YouTube.
Hivyo, kama ukiamua kutupia muziki kiujumla itakuwa poa na kama utaamua kujikita kwenye kijisehemu cha muziki basi itakuwa poa zaidi kubwa ni kuburudisha jukwaa baada ya mihangaiko ya siku nzima.
Kingine, mimi hutundika kipengele changu muda wa usiku.

Usiku mwema pia, though ni siku mingi sana sijakuona vile ukikatiza kwa mtaa huu.Usiku mwema guys!
Miss u mo katibu.Miss you mwenyekiti
Katibu nimerejea katika ubora wangu
Kila mtu aendelee na chakeBasi segment yangu ya Old is gold nadhani inaweza ikabaki pale pale, cos nahisi haudeal na miziki ya zamani yes?
Mi nilikuwa nadeal na Oldies+ Old skulz....![]()
Mimi nikiwa kama Mwenyekiti sina budi zaidi ya kumwambia my katibu " Welcome back "Katibu wa weka picha
Naona anakaribia kumaliza masomo yake
Itifaki imezingatiwa.Kila mtu aendelee na chake
Hakuna ubaya wowote
One yy analetaga wa hapa hapa zaidi na hata wa mamtoni
Ww unaletaga wa mamtoni
Hakuna tatizo lolote
.........
Basi segment yangu ya Old is gold nadhani inaweza ikabaki pale pale, cos nahisi haudeal na miziki ya zamani yes?
Mi nilikuwa nadeal na Oldies+ Old skulz....![]()