Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Shukrani mkuu Bitoz kwa Je wajua![]()
End
...........
Shukrani mkuu Bitoz kwa Je wajua![]()
End
...........
Avatar hiyoAlichanganya maboya![]()
Ha hahahahah, na hasa pilipili. Ukienda kula kwenye migahawa yao wanakuuliza, kwa kiwango cha 1-5 utapenda pilipili iweje kwenye oda yako? Binafsi nikasema 2 na ikawa balaa tupu nikajiuliza anayetaka 5 huo msosi unakuwaje

Umgetaja 5Ha hahahahah, na hasa pilipili. Ukienda kula kwenye migahawa yao wanakuuliza, kwa kiwango cha 1-5 utapenda pilipili iweje kwenye oda yako? Binafsi nikasema 2 na ikawa balaa tupu nikajiuliza anayetaka 5 huo msosi unakuwaje
Hatari sana karibu ChocsDuh... uzi una comments elfu 9 plus plus
Nafikiri hawajawahi kufika hukohivi wareno hawakuwahi kutawala huko India?? maana ndio mambo yao hayo, hiyo ni moja ya sababu iliyowaleta Zanzibar
Huku ni amani kabisaNyagei naomba summary
Mimi kwa sasa chimbo langu nakwenda nalo kimya kimya, wanga wengi.Hatari
Kama umepindua lazima upinduliwe.Kwsngu haitawezekana..
Nko poaKwema shem wane
Uko poa lakini
una stahili kuwa msemaji wa MakapukuHuku ni amani kabisa
Full utani
Utapata elimu na burudani non stop
Asubuhi utapata neno la uzima kuna magazeti na historia +picha
Baadae kuna Je wajua na ratiba za michezo
Kisha story
Na jioni utapata 10 bora na neno la uzima kisha burudani ya muziki mzuri wa kulalia.
BTW nisikuchoshe na maneno mengi
Unatumia sharubati gani nikuletee
sawa mkuuNafikiri hawajawahi kufika huko
Waingereza ndo wametawala sehemu nyingi karibia mabara yote
......