Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nzurihabari za asubuhi
Nzurihabari za asubuhi
Amina mama mchungaji Mungu akubariki pia,cjamuona Shunie wetu vp una taarifa zakeISAYA 59
1.Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka hata usiweze kuokoa ,wala sikio lake si zito lisiweze kusikia.
TUOMBE
Tunakushukuru BABA MUNGU kwa ulinzi wako umetuamsha salama.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote.
Asante kwa ulinzi wako usiku kucha.
Tunajikabidhi mikononi mwako mchana wa leo.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,wajane yatima na wahitaji.
Bariki kazi za mikono yetu
Bariki wasafiri angani nchi kavu na majini wafike salama
Bariki wamama wajawazito wapate kujifungua salama maana huo ni mpango wako kwetu sisi wanadamu
Wasaidie suluhisho sahihi wale wote wenye kupitia changamoto mbalimbali.
Asnte Baba mapenzi yako yatimizwe maana mkono wako haupungui kwetu,sikio lako linasikia kuomba kwetu.
Katika jina la Yesu,Amen![]()
SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
Salama kwemahabari za asubuhi
kwema kabisa ww mgeni humu eehSalama kwema
AmenISAYA 59
1.Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka hata usiweze kuokoa ,wala sikio lake si zito lisiweze kusikia.
TUOMBE
Tunakushukuru BABA MUNGU kwa ulinzi wako umetuamsha salama.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote.
Asante kwa ulinzi wako usiku kucha.
Tunajikabidhi mikononi mwako mchana wa leo.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,wajane yatima na wahitaji.
Bariki kazi za mikono yetu
Bariki wasafiri angani nchi kavu na majini wafike salama
Bariki wamama wajawazito wapate kujifungua salama maana huo ni mpango wako kwetu sisi wanadamu
Wasaidie suluhisho sahihi wale wote wenye kupitia changamoto mbalimbali.
Asnte Baba mapenzi yako yatimizwe maana mkono wako haupungui kwetu,sikio lako linasikia kuomba kwetu.
Katika jina la Yesu,Amen![]()
SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
kashakuwa mwenyeji huyo pachakwema kabisa ww mgeni humu eeh
mimi nilijua ni mgeni humu nimkaribishe awe my bebekashakuwa mwenyeji huyo pacha
umechelewa, kashachuliwa tayarimimi nilijua ni mgeni humu nimkaribishe awe my bebe
umechelewa, kashachukuliwa tayarimimi nilijua ni mgeni humu nimkaribishe awe my bebe
na nani?umechelewa, kashachuliwa tayari
shululuna nani?
heeeee isirudi ile vita ya mm na Q tena kwa Pshululu
hahahahha unaogopaheeeee isirudi ile vita ya mm na Q tena kwa P
ngoja nikae mbali
naogopa broohahahahha unaogopa
haya bhana, ila mali hazikauki humunaogopa broo
kushindana na vigogo
Yaani sijaingia humu siku mbili tu, ushaiba hadi avatar ya baby wangu?naogopa broo
kushindana na vigogo
Yaani sijaingia humu siku mbili tu, ushaiba hadi avatar ya baby wangu?
Nyie mbona mnalazimisha IZRaEl aje awatembelee kabla ya muda?