Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Alipiga sana na sasa anapigika sana
Kwahiyo muosha huoshwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Alipiga sana na sasa anapigika sana
Shikamoo mama mchungajiAsante sana[emoji120]
KwemaJaman kwema humu ,?
Amen mama mchungaji Ubarikiwe sanaNimefurahi kusikia umerudi,umoja ni nguvu hatupaswi kurudi nyuma
[emoji524] ZABURI 133
1.Tazama ,jinsi ilivyo vema na kupendeza,Ndugu wakae kwa pamoja kwa umoja.
TUDUMISHE UMOJA WETU
Pamoja sana mkuuNUKUU YA LEO
"Climate change is happening, humans are causing it, and i think this is perhaps the most serious environmental issue facing us ''
''Mabadiliko ya hali ya hewa yanatokea, binadamu ndiye anayeyasababisha na nina fikiri kuwa linaweza kuwa jambo zito la kimazingira linalotukabili''.
Haya maneno yalitamkwa Novermber 26 2016, na Mtangazaji na mwandisi wa masuala ya mitambo Bw. William Sanford Nye, alimaarufu kama bill nye the science guy.
Bill nyee alizaliwa November 27 1955 huko washington D.C nchini marekani.Billy nyee alikuwa ni mwandisi mitambo (mechanical Engineer) wa ndege za boeng kabla ya kuacha kazi hiyo na kuanza kurusha vipindi vya kuchekesha na sayansi wa watoto.
Bill nye ameandika vitabu vingi kama The big bag Theory, Dancing with stars n.k, jamii ya wamarekani inatambua sana mchango wako hasa kwa vipindi vya sayansi kwa watoto wadogo, hivyo alishapata tuzo kadhaa.
![]()
![]()
![]()
wakuu Tunzeni mazingira! mazingira yatawatunza.
Waafrika hakuna utamaduni wa kujiuzulu/kuacha kazi kwa hiyari sababu hali ngumu ya kimaisha(umaskini)
Karibu Bitoz tunasubiri picha.Waafrika hakuna utamaduni wa kujiuzulu/kuacha kazi kwa hiyari sababu hali ngumu ya kimaisha(umaskini)
Hivyo kujiuzulu kwa mkuu wa mkoa na majaji lazima yatasemea maneno mengi
.
.
Shukrani kwa magazeti
.....
1980 - Jenerali Chun Doo-hwan wa Jeshi ka Korea Kusini anaamuru serikali ichukue nguvu za kijeshi ili kudhibiti maandamano makubwa yaliyofanywa na Wanafunzi wa Nchi hiyo.
Ni moja kati ya maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa na utawala wa Jeshi duniani.
[emoji109]Morning Shululu wa T
Amen Asante[emoji120]Asante mama mchungaji wangu..
Ubarikiwe kwa neno
Kwema karibuJaman kwema humu ,?
Leo katka Historia:
1967 - Rais Gamal Abdel Nasser wa Misri anaomba msaada wa majeshi ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa kuelekea kwenye vita ya siku 6 dhidi ya Israel.