No it comes randomlyI doubt it! Do you type it manually in every post?
Morning to you tooMORNING ALL KAPUKU
Mhasibu alikuwa anafanya yake kimya kimya
Amen shululuMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono dikteta Mussolin5
Tuwe na jumatano njema yenye heri na baraka katika kazi za mikono yetu
Mornng mkuu Shululu za uzima?ubarikiwe[emoji120]MORNING ALL KAPUKU
Asante sana[emoji120]MAGAZETI YA LEO YATAWAIJIA HIVI PUNDE
Asante kwa magazeti mkuu Shululu ubarikiwe,kazi yako ni njema asante mkuu Mussolin5 kwa udhamini ubarikiwe,jumatano njema kwenu[emoji120]Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono dikteta Mussolin5
Tuwe na jumatano njema yenye heri na baraka katika kazi za mikono yetu
Asante.Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono dikteta Mussolin5
Tuwe na jumatano njema yenye heri na baraka katika kazi za mikono yetu