BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Salama za uzima T,Mungu akubarikiMama mchuchu mamboo

Salama za uzima T,Mungu akubarikiMama mchuchu mamboo

So sad,kwanini alimuua kinyama hivi?Umaarufu wake unatokana na nini? Tunaupimaje umaarufu wa viongozi hawa? Na ni nani anayeamua kiongozi fulani awe maarufu? I am just curious kwa sababu mtu unaweza kujikuta unasema fulani ni kiongozi maarufu kwa sababu tu umesikia hivyo kwa marafiki na watu wanaokuzunguka.
Anyway, rafiki yake wa chanda na pete Compaore hakumtendea haki huyu kijana kwa kumuua kinyama na kumzika katika kifusi tena kwa kutumia greda la Halmashauri!
Kwemakwema humu ndani?
Salama karibuhabari za hapa wakuu mnaendeleaje?
Asante sanq ,naona kusikia na kuandika ndio kumenichanganya,nimejifunza kitu.MASHIKOLOMAGENI...MASHOKOLOMAGENI ni neno tofauti kabisa. Wabeja mayu!
I seeEbolla huko ilitamba sana, na hawa jamaa nchi ambazo hawajaelimika ndio sehemu yao ya kufanya majaribio ya chanjo zao na kutengeneza magonjwa
Nimefurahi kusikia kutoka kwako ,nasikia sauti yenye nguvu na furahaAsante Mtumishi. Mikutano ilikuwa imenibana. Tunamaliza kesho na nitakuwa hapa nanyi bega kwa bega. Thanks for caring. You are indeed a woman of God!
Nehemia 8:10b ...The Joy of the Lord is your Strength..Mungu akusimamie katika kazi zako na urudi salama Barikiwa.Morning mama mchungajiI see
Oooh,asanteHapana. Wanaogopa vijana wao kuwa corrupted na western values; na kuachana na dini yao. Media ndiyo njia kuu ya kueneza mawazo na ajenda za Kimagharibi. Ni sawa na sasa ambapo ushoga na usagaji unaenezwa kwa nguvu zote. Sema tu Wataliban wao walikwenda mbali zaidi na mbinu zao wali/nazotumia si za kibinadamu. The little fat boy wa North Korea yeye anatumia mbinu tofauti na anafanikiwa tu...