Makapuku Forum

Makapuku Forum

1974 - Polisi wa Jiji la Los Angeles wanavamia makazi ya kikundi cha uhalifu kilichojulikana kama Symbionese Liberation Army ( SLA ) na kuua wanachama 6 wa kundi hilo akiwemo Camilla Hall.

Kikundi hiko chenye mrengo wa kushoto, kilikuwa kunajishughulisha na Uvamizi wa mabenki, utekaji watu na ufanyaji vurugu.
be52891088d8220784d6fd36e497ae55.jpg
35e766ed6a8bb5995e11dc80c56c6bf6.jpg
 
ISAYA 43

1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)

HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU

-FAKALAVA
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO

2.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hutateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza.

3.Maana mimi ni BWANA MUNGU wako ,MTAKATIFU wa Israel,MWOKOZI wako ,nimetoa Misri kuwa ukombozi wako ,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.

4.Kwakuwa ulikuwa waTHAMANI MACHONI PANGU,na mwenye KUHESHIMIWA,nami NIMEKUPENDA,Kwasababu hiyo nitatoa WATU kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako

5.USIOGPE MAANA MIMI ni PAMOJA nawe,nitaleta wazao wako toka magharibi.

Wapendwa Mungu anatupenda sana ,na ametupa matumaini ya kuishi kwa furaha na hata TUSIOGOPE

TUSIOGOPE MAANA YUKO PAMOJA NASI.ANATUPENDA,ANATUTHAMINI,ANATUJALI

WOGA HULETA KUKATA TAMAA NA HAKIKA HATUPASWI.

KWALOLOTE TUNALOPITIA TUMTANGULIZE MUNGU MBELE YEYE NDIO MUANZILISHI NA MMALIZIAJI WA MAISHA YETU.

TUFANYE KAZI KWA BIDII,TUMHESHIMU,TUMPENDE NA HAKIKA TUTAYAONA MEMA MENGI NA AHADI ZAKE ZOTE ZITATIMIA

TUOMBE

Baba asante kutuamsha salama
Asnte kwa upendo wako usio na mwisho
Tunaomba ututoe roho ya woga na tukutumaini wewe siku zote za maisha yetu

Tufundishe kukupenda ,kukutii,kukuheshimu maana itatujenga kuwa na Upendo kuwa watii na kujiheshimu daima.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,na utusaidie tuwasamehe wale wote waliotukosea ili tusonge mbele.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto yoyote..WASIOGOPE.

ASANTE BABA KWA KUWA UTATUPA KUSHINDA
Naomba katika jina la Yesu Amen

SIKU NJEMA...MSIOGOPE
Amen

Ubarikiwe Mama mchuchu
 
1994 - Malawi yafanya Uchaguzi Mkuu wa kwanza katika Historia ya nchi hiyo.

Bakili Muluzi anashinda Uchaguzi huo na kumbwaga Rais Kamuzu Banda.
168ad9eeaac56ea416560635a2691f51.jpg
c99e373bf3868592cdce61020ff87dcf.jpg

Ingekuwa ni Mugabe adingeachia ngazi zen ingeundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa {mseto) km ilivyotokea huko Kenya Kibaki aliposhindwa Uchaguzi Pia huko Zrnji
......
 
ISAYA 43

1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)

HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU

-FAKALAVA
-LEE EMPIRE
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-HUSNA MUBA
-IPOGOLO
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO

2.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hutateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza.

3.Maana mimi ni BWANA MUNGU wako ,MTAKATIFU wa Israel,MWOKOZI wako ,nimetoa Misri kuwa ukombozi wako ,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.

4.Kwakuwa ulikuwa waTHAMANI MACHONI PANGU,na mwenye KUHESHIMIWA,nami NIMEKUPENDA,Kwasababu hiyo nitatoa WATU kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako

5.USIOGPE MAANA MIMI ni PAMOJA nawe,nitaleta wazao wako toka magharibi.

Wapendwa Mungu anatupenda sana ,na ametupa matumaini ya kuishi kwa furaha na hata TUSIOGOPE

TUSIOGOPE MAANA YUKO PAMOJA NASI.ANATUPENDA,ANATUTHAMINI,ANATUJALI

WOGA HULETA KUKATA TAMAA NA HAKIKA HATUPASWI.

KWALOLOTE TUNALOPITIA TUMTANGULIZE MUNGU MBELE YEYE NDIO MUANZILISHI NA MMALIZIAJI WA MAISHA YETU.

TUFANYE KAZI KWA BIDII,TUMHESHIMU,TUMPENDE NA HAKIKA TUTAYAONA MEMA MENGI NA AHADI ZAKE ZOTE ZITATIMIA

TUOMBE

Baba asante kutuamsha salama
Asnte kwa upendo wako usio na mwisho
Tunaomba ututoe roho ya woga na tukutumaini wewe siku zote za maisha yetu

Tufundishe kukupenda ,kukutii,kukuheshimu maana itatujenga kuwa na Upendo kuwa watii na kujiheshimu daima.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,na utusaidie tuwasamehe wale wote waliotukosea ili tusonge mbele.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto yoyote..WASIOGOPE.

ASANTE BABA KWA KUWA UTATUPA KUSHINDA
Naomba katika jina la Yesu Amen

SIKU NJEMA...MSIOGOPE
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom