Makapuku Forum

Mifumo mingi ya hali ya hewa na kimaumbile imeingiliana sana. Pepo zinazovuma Afrika Magharibi ndizo mwishowe hupata nguvu na kuwa vimbunga vikali vinavyowatesa Wamarekani kila mwaka. Maji yenye joto kutoka Ikweta yanachochea mvua na majira ya joto Ulaya. Vumbi kutoka jangwa la Sahara ndiyo chanzo cha mvua katika sehemu mbalimbali duniani. Air pollution inafanyika huko kwa wenzetu sisi huku Afrika ndiyo tutateseka zaidi na mvua za kupindukia kimo na ukame wa muda mrefu...Mifano ni mingi lakini ecosystem yetu ni changamano mno kwa sababu kila kitu kinategemea kingine.
 
Sikujua,ukiwa mnyanyasaji unaweza hata mvua mtu nguo hapo hawakutaka watu wawe informed
Hapana. Wanaogopa vijana wao kuwa corrupted na western values; na kuachana na dini yao. Media ndiyo njia kuu ya kueneza mawazo na ajenda za Kimagharibi. Ni sawa na sasa ambapo ushoga na usagaji unaenezwa kwa nguvu zote. Sema tu Wataliban wao walikwenda mbali zaidi na mbinu zao wali/nazotumia si za kibinadamu. The little fat boy wa North Korea yeye anatumia mbinu tofauti na anafanikiwa tu...
 
Aisee, suzonje aliomba engineers kutoka huko wa hydro power
 
4/Afghanistan Hii ndo nchi pekee ambayo siyo ya Kiafrika iliyopo 10 bora ta mambumbumbu
Inakadiriwa kuwa na idadi ya watu milioni 32 huku 7% wakiishi maeneo ya vijijini
64% hawajui kusoma na kuandika ila wanajua kuswali balaa
.......
Kitu kimoja nawapendea hawa watu. Hawapendi na hawataki kutawaliwa kabisa. Wewe njoo na madege yako, Abrams tanks na silaha za kila aina. Wenyewe utawakuta na ngamia zao na AK 47 hawana shida. Mrusi alijaribu kwa miaka 10 mwishowe akasarenda na kukimbia. Mmarekani naye huu sijui mwaka wa ngapi anahangaika. Hawaogopi kufa; na hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kifo!
 
1/Gambia
Hii nchi ina idadi ya watu milioni 2
Inakadiriwa 66% hawajui kusoma na kuandika
.
.
.
Kwa ujumla nchi za Afrika Magharibi ndiyo zimetawala ...tena ndo zinazoongoza kwa mapinduzi ya kijeshi pamoja na viongozi kukaa madarakani muda mrefu bila kusahau vita vya wenyewe kwa wenyewe
Shukrani kwa waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
 
3/Sierra Leone
Unataka almasi za damu? Zipo huko
Nchi Hii ina idadi ya watu milioni 7 ukiwa imeathiriwa vibaya na vita vya wenyewe kwa wenyewe
65% hawajui kusoma wala kuandika
....
Huko miaka ya 1990 walikuwa na vita ya kukatana viungo, mikono, miguu, masikio na pua, ukienda huko usishangae kuwakuta watu wa aina hiyo
 
Aisee, suzonje aliomba engineers kutoka huko wa hydro power
Yeah. Ni wazuri sana katika uwanja huo kwa sababu hawana njia nyingine ya kujipatia umeme.

***Kwa nini inakuwa nongwa Waafrika tukiomba kusaidiana sisi kwa sisi? Ni lazima wataalamu wawe wazungu au Wachina? Waafrika sisi yaani ni shida tupu aisee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…